Ulimbukeni wa wasichana

Ulimbukeni wa wasichana

Asa kama uliingia kwa gia zile za mtelemko

Mfano " usiwe na hofu mrembo hapa pesa ipo, we sema unachotaka" aasa hapa tegemea mizinga tu,
 
Ukiona mschana anakuomba hella kila akutaftapo jua hakupendi

Nani asiejua wanawake wakipenda mtu huweza ata kumpa pessa
Au nani asiejua wanawake huwa na mtu ili wamlambe pessa
Mwanamke akimpenda mtu hupenda kuwa karibu nae kila mda na hatopenda kuomba hella kwa huyo mtu otherwise she has no choise
Kuna wanaume wanajisifia eti ukitaka mschana akupende mpe hella
My friend utapata almost kila mschana ukiwa na hella lkn kumbuka wengi watapenda hella na utakuwa kama uchepuko wake mtunzaji wake ila anamtu ambae atataka awasiriane nae kila sekunde
Tell them the truth brother... true love is not based on money ....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom