Ulimbukeni wa wasichana

Ulimbukeni wa wasichana

Kama ni hivyo nenda wewe kama wewe usimvute kwa nguvu ya pesa. Ukimzoesha pesa jiandae mtoso ukifulia
Yaani mbinu za kutoonekana tigo pesa, m pesa, ezy pesa, airtel money.
Usijali hapangwi mtu mstari, ndiyo kwanza natafuta hivyo nitakayempata ndiyo huyo huyo
 
Mwanamke Ukiona mwanaume anakuomba penzi kila akutafutapo ujue anakuona kama chombo cha starehe
Unamaanisha nn? Au ndio biashara?
Hakuna mwanamke asie jiuza ila wanatumia njia tofauti kujiuza!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom