Morogoro kitunguu kinakubali anzia maeneo ya magubike, magole, dakawa, dumila na kilosa pia, kikubwa uhakikishe una maji , mwezi wa 6 after masika kukata ndipo mashamba ya vitunguu huanza kuandaliwa, ili kuvuna november-december
Kama unaanza, anza na mbegu aina ya OPV kama hizo Red cleorel, Red Bombay, ili upate uzoefu kidogo anza hata na nusu eka kwanza, kisha badae ndipo uje utumie hizo hybrid kama Neptune F1 etc, Usije kupanda Jambari F1 zinasumbua sana sokoni maana ni vinene mnoo.