MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,586
Hahahaha....we mjukuu mtiifu hatari sana hii;
Hii UMECHEZA VIZURI KAMA FLANI............haina uhusiano wowote na ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE?............. Sijui naeleweka yailah toba?
Hiyo red, labda nikuulize mjukuu mtiifu wa babu: Huyo mlaji atajisikiaje kula huku aliyempikia tumbo lakoroma kwa njaa?.... Navyojua mie, chakula kinapokuwa kitamu, hutapenda kukila peke yako. Sasa utakula na mwingine nani tena ilhali aliyekupikia ndo kakunawisha mikono?.... shurti mshirikiane mkile wote, hata kama yeye atakula kwa kuzuga, kwakuwa anataka wewe ukifaidi, mwisho wa siku lazima mlaji atashiba na atacheua. Afu si ndo lengo la mpikaji kuwa mlaji ale ashibe? Akicheus si ndo raha zaidi kuwa chakula kimefika pahala pake?Babu kwa hiyo usipocheua ina maana hujashiba? kuna sababu nyingi ambazo zawezazuia wewe kutocheua bana na ambazo hazisababishwi na chakula ulichopikiwa. Mfano kama umezoe mpishi wako ndo aanze kushiba na kucheua ilihali ye kaamua leo mie staki kushiba chakula hiki ni spesheli kwa mpenzi wangu.hadi nimwone ameridhika.. weza usicheue kwa kuwa waona mpishio hacheui. mwisho washiba na kuridhika na mkono washuka au wasubiria tena njaa iume upewe tena lol. Au haiwezekani?
babu ndio maana pia kuna zawadi za wachezaji bora hata kama timu yake haijashinda bwana!! mbona sie enzi zile za Umishumta tulikuwa tunachaguliwa kuingia timu ya taifa pamoja na kuwa sometimes hamshindi?? Mi nadhan kutocheua haimaanishi mtu hajashiba. Mwe leo
Hilo sawa, ila je kwa mfano alichopewa ni haramu kama alivyosema maty (kwa mfano matumizi ya ule mtandao wa Fidel na Masa)........Ulikuwa wapi siku zote haiwezi kuwa kauli ya utata?...........ngoja nianze kuingia kwenye pointi sasa, naona nimezunguka sana LOLBabu hapana kuuliza ulikuwa wapi siku zote haimaanishi kuwa alikuwa anavijua so alikuwa anakusubiria tu siku moja umfanyie bana......... pengine anamaanisha mbona hujjawahinipa raha kama hizi au mbona ulikuwa wadhulumu jamani.........sasa ukisema umecheza vizuri kama Asprin hapo waitafuta kesi na timu ufukuzwe!
Hiyo red, labda nikuulize mjukuu mtiifu wa babu: Huyo mlaji atajisikiaje kula huku aliyempikia tumbo lakoroma kwa njaa?.... Navyojua mie, chakula kinapokuwa kitamu, hutapenda kukila peke yako. Sasa utakula na mwingine nani tena ilhali aliyekupikia ndo kakunawisha mikono?.... shurti mshirikiane mkile wote, hata kama yeye atakula kwa kuzuga, kwakuwa anataka wewe ukifaidi, mwisho wa siku lazima mlaji atashiba na atacheua. Afu si ndo lengo la mpikaji kuwa mlaji ale ashibe? Akicheus si ndo raha zaidi kuwa chakula kimefika pahala pake?
Hiyo blue...we nawe nlifikiri ushakuwa bana...khaa....michezo ya umishumta tena ndo unataka kuileta ligi kuu?.... Ligi kuu mchezaji bora hutoka kwenye timu iliyotwaa ubingwa au iliyofanya vizuri. Timu imeshuka daraja, uchezaji bora utaupatia wapi?...........bado nasisitiza....Kucheua ni ishara ya ridhiko la kushiba.
Swali la kizushi: Mlaji mwenye njaa asipokula na kushiba atacheua nini?.......... Hivi hii thread tumebakia wawili tu?
Hilo sawa, ila je kwa mfano alichopewa ni haramu kama alivyosema maty (kwa mfano matumizi ya ule mtandao wa Fidel na Masa)........Ulikuwa wapi siku zote haiwezi kuwa kauli ya utata?...........ngoja nianze kuingia kwenye pointi sasa, naona nimezunguka sana LOL
Hahahahaha........ sasa mwenzio ndo alikuwa anapanga mkakati wa namna ya kuyafanya hayo, alipofika kajifanya kauzu, amelewa chakari kiasi cha kupotea njia...... akashangaa chubwii...afu mwisho wa safari akaambulia ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE......khaa!...........hahahahahah hilo sasa jengine ah. Kwa hilo mwaya stahiki yake ni .........umejifunzia wapi au nani kakufundisha!! tena hii yaja hata kabla ya aksante (kama akifanikiwa lakini)
huu msemo unamaanisha ga sana watu hawajagundua tuumewahi kukutana na usemi huu???
be careful on what u wish for,because you may get it..... lol
Hahahahaha........ sasa mwenzio ndo alikuwa anapanga mkakati wa namna ya kuyafanya hayo, alipofika kajifanya kauzu, amelewa chakari kiasi cha kupotea njia...... akashangaa chubwii...afu mwisho wa safari akaambulia ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE......khaa!
Hahahahah......... heheheheh.... hahahaha.... ngoja nicheke kiduchu
Ulikuwa wapi siku zote.... we wajiona waenda anzisha kumbe mwenzio mwalimu......afu anakushangaa ulikuwa wapi? hata kuzuga kashindwa?
Hahahahaha........ sasa mwenzio ndo alikuwa anapanga mkakati wa namna ya kuyafanya hayo, alipofika kajifanya kauzu, amelewa chakari kiasi cha kupotea njia...... akashangaa chubwii...afu mwisho wa safari akaambulia ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE......khaa!
Hahahahah......... heheheheh.... hahahaha.... ngoja nicheke kiduchu
Ulikuwa wapi siku zote.... we wajiona waenda anzisha kumbe mwenzio mwalimu......afu anakushangaa ulikuwa wapi? hata kuzuga kashindwa?
Ulikuwa wapi siku zote?
Orayt..........ukiulizwa ulikuwa wapi siku zote...nibipu nikupe jibu lake.Hahahaaaa.....hebu fanza huruma za hizo mbavu.....
Aiseee............Inauma sana aiseeeee! Inakera sana aiseeee!...kwanini asikuambie mapema kuwa anataka?hii ipo sana kitaani babu,
waweza fikiri wewe ni bingwa /mshehereshaji siku zote,
kumbe mwenzako anakuchora tu, na kukunanga kisiri,
anajua yeye hiyo raha huwa anaipatia wapi...lol.....
Hahahaha....tatizo ile picha.... wamekimbia wote....kina dada wanaogopa njaa aisee!Mnh... Hii topik imezua balaa.
Ati kula na kucheua..
Mapenzi kama njaa ee?
Hivi mabaamedi wanatongozwa au wanaulizwa lini utakuwa off?Alikuwa anaona aibu kutongoza
Hivi mabaamedi wanatongozwa au wanaulizwa lini utakuwa off?
Hahahahaha........ sasa mwenzio ndo alikuwa anapanga mkakati wa namna ya kuyafanya hayo, alipofika kajifanya kauzu, amelewa chakari kiasi cha kupotea njia...... akashangaa chubwii...afu mwisho wa safari akaambulia ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE......khaa!
Hahahahah......... heheheheh.... hahahaha.... ngoja nicheke kiduchu
Ulikuwa wapi siku zote.... we wajiona waenda anzisha kumbe mwenzio mwalimu......afu anakushangaa ulikuwa wapi? hata kuzuga kashindwa?
Hivi mabaamedi wanatongozwa au wanaulizwa lini utakuwa off?
Hahahaha...unamkabidhi Mwanandio sitting allowance ya buku mbili, unaondoka na "kivaluu" Hawa.hivi babu, ile style ya kuwalipia mabaamedi per diem zao kwa meneja,ili ubebe
hata kama wapo kwa kazi si bado ipo?
Hahahaha...Teamo TIAI!....karibu Kerege, karibu mahindi ya kuchoma, karibu kisamvu, karibu kunde....tarehe 26 iko ukingoni usisahau.haya bana....!
hajambo deuc na kimambo?
kivaluu yupo?
asenga mzima?
wasalimie sana......
.............Ya kale yamepita; tazama yamekuwa mapya........................
Kweli Babu mbea loh.....nimecheka hadi nimepaliwa !!
Lakini Babu sema kweli we waionaje hii? kuna kosa alipouliza hivi?
Hahhah eti- chubwi!!
halafu suppose yeye kaka ndo angeombwa......... akosee njia...... angeichukuliaje? hahah mi ctaki