Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!


Swahiba kuna mtu unamsema humu aisee.... we ngoja akudunde migumi hadi ujikojolee.... huwa haposti sana siku hizi lakini kwa hili ataibuka tu
 
swahiba kuna mtu unamsema humu aisee.... We ngoja akudunde migumi hadi ujikojolee.... Huwa haposti sana siku hizi lakini kwa hili ataibuka tu

mtm
curiousity kills a cat...

Who is that?
He?
She????????
 

Mara nyingi jibu la hapa ni ndio, ingawa kupata kwake inakuwa indirectly, (i.e kuhadithiwa, kuangalia, kusomea. etc) sio kufanyiwa!


Unapaswa kumuuliza kajifunzia wapi au kumwambia ahsante?........

...haipendezi! la maana ni kumsifia kwa hako kautundu kanakonogesha...!

Je kuna sababu yoyote ya kuleta ubunifu mpya wa mapenzi kwa mpenzi/mwenza wako wa siku nyingi? .

...naaam, naam. Tena hilo ni lazima! Hakuna ubaya kuwa na Diary una tick...
Jumatatu na Jumatano- Vigelegele, Jumanne na alhamisi- kengele, Ijumaa na Jumapili - kileja...
wiki ya pili unabadilisha somo...


Si hatari kwa mahusiano?.

...hamna hatari yeyote, 'keep her Guessing' kesho yake utakuja na somo gani!

Jamani nawaulizeni? : MLIKUWA WAPI SIKU ZOTE............?

Babu anarudi kitandani kutafakari.
 
Hahahah mbavu zangu! Ukiona hivyo ujue ushasaidiwa sana!
 
.............................................
 
We Mbu haya tusimulie maana ya kigelegele, kengele na kileja............mh watu mna mafuzo ila nimeipenda hiyo ya kumfanya kila siku awe anawaza leo ntapata nini.....inanigesha hamu ya kukutana na mwenzi wako........

Wana heri wao waliokutana na wanojua mapenzi!!!
 

u sound like u never experience that lol
 

...lol,...mwj1, ASPIRIN ameuliza nami nam quote "ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE......?....EH?..."
 
...lol,...mwj1, ASPIRIN ameuliza nami nam quote "ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE......?....EH?..."

................Ah Mbu acha tu huyu Babu najaribufikiria alipokuwa kijana alikuwaje........wakati mwingine ananiingiza majaribuni Mjukuu natamani kuonja chakula cha Bibi....GOd forbid mimi ni Mtiifu lol

Asprini haoni bila miwani na by the time anakuja hapa hii post itakuwa ishavushwa peji
 
Reactions: Mbu

...ha ha hha ha! eti chakula cha bibi, ...wewe ndio unamtia majaribuni,
mwenyewe an'sema kwakuwa hapendi dhambi, hujirudia kitandani kulala!
 
Nilikuwa nasubiri siku ya leo ifike ili nikufanyie hayo uliyoyaona, Lizzy as if ulikuwa kichwani mwangu.... lol, babu una mambo, sijui ulikuwa wapi siku zote?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…