Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

Kaizer unabiiiiiisha! unabiisha niseme huwa unapitia mlango upi kuingia jukwaa la chini Kongosho usdangyike!huyo kila siku kabla jhjaingia darasani huwa anaoma excuse mi ticha can I goo out!
sasa kwa kuwa mimi ni mwalimu bora na si bora mwalimu nikiona anachelewa kurudi darasani ndo huwa namfata!
 
Last edited by a moderator:

Afadhali aisee mana alikuwa anabisha sana.......btw seems like ure a good teacher!!!!!!!!!!!!
 
Afadhali aisee mana alikuwa anabisha sana.......btw seems like ure a good teacher!!!!!!!!!!!!

yani wewe, Kaizer na RR ndo mmeichakachua hii useful thread namna hii? Ntakutia bakora za makalioni walah.
 
Last edited by a moderator:
Afadhali aisee mana alikuwa anabisha sana.......btw seems like ure a good teacher!!!!!!!!!!!!

Am the best. Na kwa mwanafunzi bora kama wewe, sitahitaji tuition fees. Try me.
 
Maadili yanamruhusu mwalimu kumfuata mwanafunzi jukwaa la chini? Kweli Big Results Now inahuu.
 
Last edited by a moderator:
yani wewe, Kaizer na RR ndo mmeichakachua hii useful thread namna hii? Ntakutia bakora za makalioni walah.

Ulikuwa wapi siku zote mpaka tukachakachua thread yako?...........Kamwe RR hawezi ruhusu mtu mwingine anichape kwenye ma------!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Am the best. Na kwa mwanafunzi bora kama wewe, sitahitaji tuition fees. Try me.

Mhhhh ngoja nimwombe ruhusa RR akikubali nakuja fastaaaa!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Afadhali aisee mana alikuwa anabisha sana.......btw seems like ure a good teacher!!!!!!!!!!!!

ahahahhahahahhhaha mi bana wanafunzi wangu nawajua kwa mwandiko!
wakiwa hawapo tu najua kuna mtoro humu!
 
Ulikuwa wapi siku zote mpaka tukachakachua thread yako?...........Kamwe RR hawezi ruhusu mtu mwingine anichape kwenye ma------!!!!!!!!!!!!!

Ndo apo chacha ata mie najishangaa. Ila uyo mtu kuwa nae makini. Ukiona vipi unajua pa kunipata, right?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…