Ulikuwa unalijua hili?

Ulikuwa unalijua hili?

LUBEDE

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
4,322
Reaction score
6,694
Unajua kuwa neno UVIVU ndio neno pekee la kiswahili ambalo hata ulisome kinyume linabakia kuwa na maana ile ile?
Tufanyeni kazi tuache uvivu wadau!
 
Loh!!!ningejua nisingejaribu na hii nimefanya baada ya tafakur ndogo,jina langu la mwamzo ni Arif!!!!wadau msijaribu kuligeuza msijesema nimewatukana nikapigwa BAN bure!
 
Loh!!!ningejua nisingejaribu na hii nimefanya baada ya tafakur ndogo,jina langu la mwamzo ni Arif!!!!wadau msijaribu kuligeuza msijesema nimewatukana nikapigwa BAN bure!
Hahaha hahaha hehehe pole
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom