Ulikuwa unajua hili? Naomba mnisamehe kwani sikudhamiria......! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulikuwa unajua hili? Naomba mnisamehe kwani sikudhamiria......!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jilanga, Mar 14, 2011.

 1. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Singida ni miongoni mwa mikoa maskini kabisa nchini Tanzania! Muda mwingi utawakuta watu wake wamevaa mavazi ya CCM si kwamba ni wafuasi la hasha! ni ugumu wa maisha kiasi cha kushindwa kununua nguo!

  Jana niliumia sana kutokana na Mkutano wa hadhara wa WanaCCM Kutumia kilemba cha Waislam!
  Hivyo wanachotaka ni nini? Kukuza udini?
  Kuficha maovu ya Mwislam Mwezao? Watanzania makafiri hawastahili haki zao? Maandiko matakatifu yaonya "unapoona ovu kemea kwa nguvu zote na ndo wanachofanya Kafiri kupitia maandamano!

  Naomba yeyote Mwenye akili anisaidie kutathini mchango wa makafiri na Waislam ktk Kujenga taifa letu!
  1. Tuanza na serikali ya uongozi wa kwanza chini ya Hayati Baba wa taifa {Kafir} na maendeleo yaliyopatika enzi zake!
  2. Awamu ya pili China Mh Ali Hassan Mwinyi {Ustadhi} na mchango wake ktk Taifa letu!
  3. Awamu ya tatu chini ya Ben Mkapa {Kafir} na mchango wake ktkt juhudi za kujenga nchi yetu!
  4. Awamu ya nne chin ya Dr Mkwere {ustadhi} hapa no comment!!

  Mkutano wajana umenifanya ni hoji ni wapi tulikovurunda na kuwa na vilaza zaidi 1&3 or 2&4 nikimaanisha Nyakati za Makafiri au Maustadhi? Waislam wangejua hili jana wasingeongea chochote kwenye mkutano wao wa hadhara jana Singida!

  Naomba mnisamehe kama nimewakera! Mungu akupeni hekima itokayo juu mbinguni!
   
 2. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  what is your point? nimesoma hii topic lakini nashindwa kupata maudhui yake! unataka kumaanisha nini bwana mdogo?
   
 3. Saeedgenius

  Saeedgenius Member

  #3
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Unafahmu maana ya kafir? Mwalimu wala Ben sio makafir bali ni Christians. Pia Mwinyi na Jk sio maustadh kama unafahamu maana yake. Hebu rekebisha kidogo kisha ulete mada vizuri tuielewe.
   
 4. Mroojr

  Mroojr Member

  #4
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Sijui hata unachoongea ni nini nimeshindwa kuelewa.Kwanza ni kosa kuwaambia watu hawana mavazi,halafu pili kila mtu ana uhuru kujiunga na chama chochote au dini yoyote kwa mujibu wa katiba ya nchi.U-ccm wao we unauhangaikia nini angalia walichokuwa wanakiongea wamevunja amani?Mbona makanisani maaskofu wanazungumzia siasa hilo hulioni? Kila watu wana haki ktk nchi hii kukusanyika na kuzungumza watakacho alimridi wasivunje amani wala sheria za nchi dini zote na vyama vyote nchini.
   
 5. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hata ukiomba msamaha lakini ni ujanja wako tu wa kuhamasisha udini nchini. Ushindwe na uleegee kwa Jina la Yesu na Mtume Mohammed
   
 6. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sikiliza bw Mdogo Kashaga,mimi nimemwelewa vizuri sana.
  Ingawa katumia maneno makali ya kuudhi kidogo kwa kutumia majina ya KAFIRI NA USTAADHI anajaribu kulinganisha ujenzi wa Taifa hili kwa kulinganisha viongozi wa dini hizi mbili UKRISTO NA UISLAM.
  Sawa ni sula la UDINI zaidi kitu ambacho mimi binafsi siwezi kujiingiza kwenye mjadala huu.Lakini asiye na macho haambiwi tazama.wameshanena wakubwa km Askofu Pengo siwezi kuongeza.
  Asante Bw Mdogo Kashaga.
   
 7. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #7
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kafir ni neno liliko katika bibilia na Koran likiwa na maana mtu ambaye hana dini.
   
 8. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #8
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Rais aliposema kuna dalili za udini tulisema wote hapa JF kuwa anasema uongo lakini unapochunguza kwa kina posts kama hii unatambua kwamba mtumaji ni walewale tunaowatilia shaka ya kueneza udini.
   
 9. Mujumba

  Mujumba JF-Expert Member

  #9
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 854
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  personal attack
   
 10. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #10
  Mar 14, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kafir ni "MPINGAJI" kwa lugha ya Kiarabu. Hivyo yeyote anayepinga awe Muislam au Mkristo ni Kafir!
   
 11. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #11
  Mar 14, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  we mjinga kweli aliyekwambia kwa jina la mhamadi nani! UNAFANANISHA KIFO NA USINGIZI JINA LA YESU NI JINA LISILOFANANISHWA NA LOLOTE!
   
 12. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #12
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,781
  Likes Received: 36,776
  Trophy Points: 280
  uvunjifu wa amani.
   
 13. Bless the 12

  Bless the 12 Member

  #13
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu mie naona huna point, unataka kuchochea udini tu na hii post yako.
  Tanzania hatuhitaji UDINI, unapotoa post ambayo haina misingi yoyote ya kutufanya tuendelee basi unastahili ufie mbali na ufinyu wako wa kimawazo!
   
 14. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #14
  Mar 14, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Kama heading ya topic inavyosema, TUMSAMEHE. Huyu dogo bila shaka ni wale wanaoendekeza udini.
   
 15. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #15
  Mar 14, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,399
  Trophy Points: 280
  :smash:
   
 16. Pepombili

  Pepombili JF-Expert Member

  #16
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 439
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wala ahjakosea kusema kafiri (kafiri ni neno la kiarabu na maana yake hasa ni mtu yoyote yule asie muisilamu anaitwa kafiri kwa hio wakiristo ni makafiri tu vumilieni japo inauma) haya mie nilikuwa naweka sawa tu hilo endeleeni na mjadala.

  Mtu yeyote asiye muisilamu ni kafiri.
   
 17. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #17
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Hacha UONGO wewe!!!!!!!

  Unatakiwa ujue kuwa neno Kafir kwa waislam sio tusi, ni neno lenye tafsili halisi kwa YEYOTE ambaye hafuati misingi na dini ya Kiislam.

  Hii haina maana kuwa Kafir ni mkristo pekee bali HATA MUISLAM ALIYEKO KINYUME NA MISINGI YA UISLAM nae anatabulika kama Kafir. Na wala sio kama unavyodai kuwa KAFIR NI MTU AMBAYE HANA DINI... hao ni pagans...

  Acha upotoshaji kama ujui haina maana uzungumze.
   
 18. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #18
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Hata MUISLAM aliyeko kinyume na misingi ya uislam nae NI KAFIR hiyo ndio maana halisi ya neno kafir... yeyote aliyeko kinyume na uislam haijalishi ni muislam au mkristo ama budha nk... na kwanza watu wanatakiwa wajue kuwa sio tusi hilo neno... ila ni tafsili ya maelezo hapo juu.
   
 19. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #19
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,419
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  I concur!
   
 20. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #20
  Mar 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Thread yenyewe iko kushoto kushoooto.... ueleweki... mara kafir mara ustaadhi... acha kuwapima watu kwa misingi ya dini yao... HUO NDO UDINI WENYEWE

  Alafu peleka hii thread kwenye jukwaa la dini , hapa sio mahala pake.

  Hivi kwani ni lazima muanzishe topic??? si mnaweza kuchangia za wenzenu??? aaaaaaaaaaaaaggggghhhhh!!!
   
Loading...