Ulikuwa unafanya nini ukiwa na miaka 16?

Ulikuwa unafanya nini ukiwa na miaka 16?

Nilikua form 4 nakazana kukariri archimedes principle
 
Huyu dogo, Ansu Fati,ana umri wa miaka 16. Tayari anachezea Barcelona na amefunga goli na kuwa mchezaji mdogo kupita wote kuwahi kufunga goli pale Barca.

Sasa usiniulize nilikuwa nafanya nini nikiwa na miaka 16. Ninachokumbuka nilikuwa bingwa wa kuangua zambarau. [emoji28][emoji28][emoji2365] View attachment 1195167
[/QUO nipo shule
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mwenza ulikosea wapi? Ungekuwa mama mchungaji sasa hivi ukaja kuangukia kwa mlipuko @kaboom
Nimekumiss..
 
Nilikuwa nauza chakula kwenye mgahawa wa shangazi kipindi niko likizo aka mama ntilie.

Nilijifunza elimu ya ujasiriamali na nilijua mapishi mengi ikiwemo keki na biriani.
Nimesikia biriani nikasisimka.
 
Hahaha.

Na mnavyokuwaga na madharau sasa viongozi wa UKWATA wa kike.

Hata usemeshwe..utongozwe utamwangalia mtu kwa dharau huku ukisonya kwa vifungu vya Biblia. Utafikiri mpo Mbinguni.
Umepiga penyewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom