Aiseeee[emoji848]!Kuwala uroda kuku wa jirani
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa wewe unaanzaje kumtongoza mpakwa mafuta wa Bwana?Hahaha.
Na mnavyokuwaga na madharau sasa viongozi wa UKWATA wa kike.
Hata usemeshwe..utongozwe utamwangalia mtu kwa dharau huku ukisonya kwa vifungu vya Biblia. Utafikiri mpo Mbinguni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nlikuwa nakomaa na hesabu za logarithm.....Badaye nkagundua hata aliyetunga alikosea nkaachana naye
utakuwa mtamu sasa weweNilikuwa namalizia o level yangu
hawa viongozi baadhi yao walitakiwa kutunukiwa vyeti vya unafki mashuleni. Kuna maboya walitunyima zile karatasi za TYCS kisa huwa hatuhudhurii vipindi vya jioni.Hahaha.
Na mnavyokuwaga na madharau sasa viongozi wa UKWATA wa kike.
Hata usemeshwe..utongozwe utamwangalia mtu kwa dharau huku ukisonya kwa vifungu vya Biblia. Utafikiri mpo Mbinguni.
Umecheka nini sasaDah ...
Nmecheka
Kumbe vilikuwepo hadi vyeti vya unafikihawa viongozi baadhi yao walitakiwa kutunukiwa vyeti vya unafki mashuleni. Kuna maboya walitunyima zile karatasi za TYCS kisa huwa hatuhudhurii vipindi vya jioni.
Nmekumbuka viongozi wa ukwata wadada maringo yaoUmecheka nini sasa
Ndio sasa sio ndugu zake Yesu?Nmekumbuka viongozi wa ukwata wadada maringo yao
Utafikiri ndugu zake na Yesu
Anyway Mambo yanaendaje hapo paradiso