Ulikuwa na ndoto gani

shansarie

JF-Expert Member
May 25, 2013
5,690
3,357
Binafsi nilipokuwa mtoto nilitamani sana kuwa daktari sababu ya mzunguko wa familia ulivyo ila sikwenda mbali sana nikawa nesi. Na naipenda kazi yangu vibaya mno.
ulipokuwa mtoto ulitamani kuwa nani uwapo mkubwa na je ulicho tamani ndicho
unachofanya sasa? na unaipenda kazi yako?

funguka
 
NIlipokua mtoto nilitaka kua Mungu. Nilikua na ideas for improvement.
For some reason I felt like he has failed and I could do better.
cc: Kiranga na Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
NIlipokua mtoto nilitaka kua Mungu. Nilikua na ideas for improvement.
For some reason I felt like he has failed and I could do better.
cc: Kiranga na Nyani Ngabu

Kuwa binadamu ni kuwa mungu na shetani pamoja, hakuna ushahidi wowote kwamba kuna mungu au shetani mwingine.
 
Back
Top Bottom