Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Kigeto geto nilienda kwa msela wangu nikakuta anajifunika shuka la MSDBinadamu huwa tunatembeleana sana yaani je ni kitu gani ulikutana nacho ugenini ukabaki mdomo wazi au kucheka tu
Mimi nilikutana na maneno katika kutambulishwa kwa mtoto wake mdogo alikuwa kama ana miaka 6 hivi akalopoka tu mama huyu ndio uncle jana ulisema upendi kuongea nae kwenye simu mama akasema sio huyu kwanza toka mtoto akagoma akasema ndio yeye si ulisema anaitwa…… nikaaga mda uho uho sikurudi tena kwakee
Je wewe ni kipi ulikutana nacho au mtoto alikuumbua kwa lipi?
Kabisa mkuu kula kwa watu hapana 😂Ndio sababu unapenda kutulia home mwenyewe unajipikia.
Kwahy walikuwa wanataka utoke komando? 😂Nilipigwa na baridi la kufa mtu jioni baada ya kuoga. siku iliyofuata nikawaambia wenyeji wangu leo sitaki kuoga jioni, wakacheka kwa pamoja na kusema tulijuwa tu.
Duh jau sana uyo ukafanyajeeDogo katoka zake boarding,kanikuta kwao swali la kwanza,,,,,mama huyu ndo house girl wetu
Ukula tunda 😂😂Ile ya kuambiwa nitalala na house girl nilishangaa sana 🤔
Ahaha ukabaki?Ushawahi kufika ugenini mtoto from nowhere aropoke "mama uncle amekuja kutumalizia chakula".
Vyoo vya ugenin kwangu ngumu kutumiaUkiwa ugenini unatakiwa kutumia choo kwa umakini
Uku muuliza kalitoa wapi na sio dr?Kigeto geto nilienda kwa msela wangu nikakuta anajifunika shuka la MSD
Ndo maisha yetu hayo mkuu maana alikusaidia ulipokuwa down na yeye atakuwa alishikwa mkono na daktari wa hapo jirani kishkajiKigeto geto nilienda kwa msela wangu nikakuta anajifunika shuka la MSD
sikuongea,walimrekebisha wazazi wakeDuh jau sana uyo ukafanyajee