Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,508
- 14,810
[emoji2][emoji2][emoji1]mim wangu alikosea kutuma message badala ya kwenda kwa mchepuko ikaja kwangu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2][emoji2][emoji1]mim wangu alikosea kutuma message badala ya kwenda kwa mchepuko ikaja kwangu
Yaani hakuona kama mimi ni mhanga wa harakati zake! Eti akaona Mimi snitch, sijui alitakaje aisee![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hii simulizi imenichekesha Sana kmmk
Manzi anakuambia wewe Ni mbea !?? Aiseee nimecheka yaani anakuona umemuharibia ugali wake daaahh nyie Hawa Wanawake Ni nyoko
Nimecheka sana "eti analia lia mi nikawa napiga kiepe "Siku hiyo nilipigiwa simu na namba ngeni jamaa akajitambulisha kuwa amepata namba yangu kwenye simu ya demu wake amegundua tuna mawasiliano tata, nikamwambia ukweli kuwa huyo ni demu wangu!
Basi tukaongea sana, kumbe demu huwa anatupanga! Tukakubaliana tusimwambie kitu demu baada ya siku mbili demu akanitembelea room kwangu, mida ya saa nne nikamtumia text jamaa aibuke maana nilikuwa nishamuelekeza ninapoishi.
Jamaa alikuwa ni muajiriwa. Mimi na demu tulikuwa bado wanachuo. Basi mshkaji akaja hadi room na ndinga lake! Nikamfungulia akaingia, demu alipoteana balaa. Jamaa alikuwa muungwana akakaa kitandani, akamuuliza demu kwanini amekuwa akikubali mipango mingi anayompa kuhusu future yao wakati hapo hapo anapanga mambo hayo hayo ya future na Mimi?
Demu akaanza kumuomba msamaha mwana, Mimi hapo Sina langu nimekausha tu napiga zangu kiepe nilichonunua! Wakaongea pale ila jamaa akamwambia demu asijaribu kumtafuta hata kidogo, yaani amsahau, hataki hata kumuona! Demu akawa analia saaana, anaomba msamaha eti Mimi hanipendi anampenda yeye! Jamaa akawa na misimamo yake akaaga akatoka nje!
Na Mimi nikatoka nikamsindikiza jamaa kwenye ndinga yake, alichonishauri ni kuwa nimpige chini yule demu hafai, maana ananitosa kwa kuwa Sina hela na yeye anamng'ang'ania kwa kuwa ana hela so nipige chini! Nikamwambia poa! Jamaa akawasha ndinga akasepa!
Nikarudi ndani demu analia kichizi! Eti akaanza kunilaumu kwanini nimemuharibia sijui yule jamaa alikuwa anampa nini! Eti umbea wangu ndio umenipa kiherehere cha kupekua simu yake na kumpigia yule mchizi! Alinilaumu kichizi yaani hakutaka kuwa responsible kabisa, aliniona snitch!
Mimi nikamwambia jamaa alivyoondoka amenipa maagizo nikuache kama yeye alivyokuacha na kiukweli Mimi siwezi kubishana na wenye hela, wewe chukua vaa viatu vyako sepa! Siwezi kupingana na matajiri Mimi, ondoka! Demu hakuamini ila hatimaye alisepa! Jamaa akanipigia simu siku ya pili nikamueleza the whole story ilivyokuwa! Akawa bro wangu kabisa, nikienda town lazima nimtafute anitoe hata buku kumi ya kuunga chuoni! Demu aliendelea kugawa kwa washkaji na walimu Hadi tulipomaliza chuo, saa hizi yupo Moro hapo kachujuka hadi Ba wala Be! Mimi na jamaa still tuna mawasiliano na anataka kuoa mwaka huu mwezi wa tisa.. Kaniambia nijichange nichangie laki moja, siwezi kumuangusha bro! Nitachanga hiyo laki moja sasa nitakpokuwa Nataka kuoa Mimi nadhani atasimamia show!
..wewe ni player[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niwe mkweli tu ' Mimi Ni mafia wa hizi Mambo katika mahusiano honestly nimepitia Mambo mengi Sana katika makuzi yangu yaliyo nifanya nikaitambua vyema Dunia ya mahusiano jinsi ilivyo
But niwe mkweli tukiachana na hayo niliyo yaongea hapo ktk para ya juu Hii JF imechangia kwa kiasi kikubwa Sana kuni shape na kuwa na mitazamo chanya katika mahusiano ... Yaani na washukuru sana kwa michango yenu JF Ni zaidi ya chuo kikuu kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna rafiki yake alinipigia simu siku hiyo ananambia kwani nyie mmeachana na fulani (babe) ? Nikashtuka hapana kwanini akasema kaenda beach na mdada mwingine nahisi wanatoka[emoji849][emoji849] mmh nampigia simu babe hapokei baadaye yule rafiki yake akanitumia uthibitisho wa picha wakiwa wanaogolea huko aisee nililiaa namuuliza akabisha eti hajaenda beach leo! Nikamtumia ile picha akawa mpole, na mkali at the same time . long distance relationship mmh si nzuri kabisa.
Aah hamna kiporo kinachopashwa hapo! Why viporo wakati kuna vyakula fresh 😉Inaonyesha adi sasa Jamaa anapasha tu kiporo [emoji28]
Acheni kukariri kila siku hela hela.TAFUTEN HELA
Una busara sana.Siku hiyo nilipigiwa simu na namba ngeni jamaa akajitambulisha kuwa amepata namba yangu kwenye simu ya demu wake amegundua tuna mawasiliano tata, nikamwambia ukweli kuwa huyo ni demu wangu!
Basi tukaongea sana, kumbe demu huwa anatupanga! Tukakubaliana tusimwambie kitu demu baada ya siku mbili demu akanitembelea room kwangu, mida ya saa nne nikamtumia text jamaa aibuke maana nilikuwa nishamuelekeza ninapoishi.
Jamaa alikuwa ni muajiriwa. Mimi na demu tulikuwa bado wanachuo. Basi mshkaji akaja hadi room na ndinga lake! Nikamfungulia akaingia, demu alipoteana balaa. Jamaa alikuwa muungwana akakaa kitandani, akamuuliza demu kwanini amekuwa akikubali mipango mingi anayompa kuhusu future yao wakati hapo hapo anapanga mambo hayo hayo ya future na Mimi?
Demu akaanza kumuomba msamaha mwana, Mimi hapo Sina langu nimekausha tu napiga zangu kiepe nilichonunua! Wakaongea pale ila jamaa akamwambia demu asijaribu kumtafuta hata kidogo, yaani amsahau, hataki hata kumuona! Demu akawa analia saaana, anaomba msamaha eti Mimi hanipendi anampenda yeye! Jamaa akawa na misimamo yake akaaga akatoka nje!
Na Mimi nikatoka nikamsindikiza jamaa kwenye ndinga yake, alichonishauri ni kuwa nimpige chini yule demu hafai, maana ananitosa kwa kuwa Sina hela na yeye anamng'ang'ania kwa kuwa ana hela so nipige chini! Nikamwambia poa! Jamaa akawasha ndinga akasepa!
Nikarudi ndani demu analia kichizi! Eti akaanza kunilaumu kwanini nimemuharibia sijui yule jamaa alikuwa anampa nini! Eti umbea wangu ndio umenipa kiherehere cha kupekua simu yake na kumpigia yule mchizi! Alinilaumu kichizi yaani hakutaka kuwa responsible kabisa, aliniona snitch!
Mimi nikamwambia jamaa alivyoondoka amenipa maagizo nikuache kama yeye alivyokuacha na kiukweli Mimi siwezi kubishana na wenye hela, wewe chukua vaa viatu vyako sepa! Siwezi kupingana na matajiri Mimi, ondoka! Demu hakuamini ila hatimaye alisepa! Jamaa akanipigia simu siku ya pili nikamueleza the whole story ilivyokuwa! Akawa bro wangu kabisa, nikienda town lazima nimtafute anitoe hata buku kumi ya kuunga chuoni! Demu aliendelea kugawa kwa washkaji na walimu Hadi tulipomaliza chuo, saa hizi yupo Moro hapo kachujuka hadi Ba wala Be! Mimi na jamaa still tuna mawasiliano na anataka kuoa mwaka huu mwezi wa tisa.. Kaniambia nijichange nichangie laki moja, siwezi kumuangusha bro! Nitachanga hiyo laki moja sasa nitakpokuwa Nataka kuoa Mimi nadhani atasimamia show!
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inaonyesha adi sasa Jamaa anapasha tu kiporo [emoji28]
Aah hamna kiporo kinachopashwa hapo! Why viporo wakati kuna vyakula fresh [emoji6]
Aah wee haitokuja kuwezekana kabisa! Tulishamove on😀Ex huwa hatongozwi ni swala la muda tu [emoji28]
Aah wee haitokuja kuwezekana kabisa! Tulishamove on[emoji3]
Hahaha nkamu unanikana ex wako hivi hiviAah wee haitokuja kuwezekana kabisa! Tulishamove on[emoji3]
We bado bikraNa tusiowahi kuwa na mpenzi tuna comment wapi?
Kwa wajaneNa tusiowahi kuwa na mpenzi tuna comment wapi?