Ulijuaje mpenzi wako anaku-cheat, na kwanini?

Hii ya U.T.I ilikua sababu pekee au kulikua na sababu nyingne kwa sababu nnavyojua Kuna watu wanakua na U.T.I sugu inajirudia Mara kwa Mara
Sababu nyingine ya kufanya nini, sijakuelewa vzr
Kama unamaanisha kutosex sababu ya UTI ilikua hyo hakukua na sababu nyingine
 
Akiwa bafuni iliingia sms kwenye simu yake, ilikuwa fupi tu"pole na uchovu wa kazi ya jana"
 
Kuna mwingine atasema tena condom inapunguza utamu.

Hilo ni swala lako mkuu.
Huruma kwa anaeteseka na magonjwa hatuna, ukumbuke hilo, na ukifa tunakuzika tu bila shaka.
Halaf na wewe unaetumia kondom utaishi milele wala hutazikwa!!
 
Siku hiyo nilipigiwa simu na namba ngeni jamaa akajitambulisha kuwa amepata namba yangu kwenye simu ya demu wake amegundua tuna mawasiliano tata, nikamwambia ukweli kuwa huyo ni demu wangu!

Basi tukaongea sana, kumbe demu huwa anatupanga! Tukakubaliana tusimwambie kitu demu baada ya siku mbili demu akanitembelea room kwangu, mida ya saa nne nikamtumia text jamaa aibuke maana nilikuwa nishamuelekeza ninapoishi.

Jamaa alikuwa ni muajiriwa. Mimi na demu tulikuwa bado wanachuo. Basi mshkaji akaja hadi room na ndinga lake! Nikamfungulia akaingia, demu alipoteana balaa. Jamaa alikuwa muungwana akakaa kitandani, akamuuliza demu kwanini amekuwa akikubali mipango mingi anayompa kuhusu future yao wakati hapo hapo anapanga mambo hayo hayo ya future na Mimi?

Demu akaanza kumuomba msamaha mwana, Mimi hapo Sina langu nimekausha tu napiga zangu kiepe nilichonunua! Wakaongea pale ila jamaa akamwambia demu asijaribu kumtafuta hata kidogo, yaani amsahau, hataki hata kumuona! Demu akawa analia saaana, anaomba msamaha eti Mimi hanipendi anampenda yeye! Jamaa akawa na misimamo yake akaaga akatoka nje!

Na Mimi nikatoka nikamsindikiza jamaa kwenye ndinga yake, alichonishauri ni kuwa nimpige chini yule demu hafai, maana ananitosa kwa kuwa Sina hela na yeye anamng'ang'ania kwa kuwa ana hela so nipige chini! Nikamwambia poa! Jamaa akawasha ndinga akasepa!

Nikarudi ndani demu analia kichizi! Eti akaanza kunilaumu kwanini nimemuharibia sijui yule jamaa alikuwa anampa nini! Eti umbea wangu ndio umenipa kiherehere cha kupekua simu yake na kumpigia yule mchizi! Alinilaumu kichizi yaani hakutaka kuwa responsible kabisa, aliniona snitch!

Mimi nikamwambia jamaa alivyoondoka amenipa maagizo nikuache kama yeye alivyokuacha na kiukweli Mimi siwezi kubishana na wenye hela, wewe chukua vaa viatu vyako sepa! Siwezi kupingana na matajiri Mimi, ondoka! Demu hakuamini ila hatimaye alisepa! Jamaa akanipigia simu siku ya pili nikamueleza the whole story ilivyokuwa! Akawa bro wangu kabisa, nikienda town lazima nimtafute anitoe hata buku kumi ya kuunga chuoni! Demu aliendelea kugawa kwa washkaji na walimu Hadi tulipomaliza chuo, saa hizi yupo Moro hapo kachujuka hadi Ba wala Be! Mimi na jamaa still tuna mawasiliano na anataka kuoa mwaka huu mwezi wa tisa.. Kaniambia nijichange nichangie laki moja, siwezi kumuangusha bro! Nitachanga hiyo laki moja sasa nitakpokuwa Nataka kuoa Mimi nadhani atasimamia show!
 
Jamani..pole Sana.

Hapo umeonyesha ukomavu
Kongole kwako mkuu,
Sisi wanaume tunapaswa kuwa na maelewano mazuri hasa suala linapokuja kuhusu kushare papuchi moja maana hawa wanawake wakati mwingine wanajijua wenyewe
 
Kuna rafiki yake alinipigia simu siku hiyo ananambia kwani nyie mmeachana na fulani (babe) ? Nikashtuka hapana kwanini akasema kaenda beach na mdada mwingine nahisi wanatoka🙄🙄 mmh nampigia simu babe hapokei baadaye yule rafiki yake akanitumia uthibitisho wa picha wakiwa wanaogolea huko aisee nililiaa namuuliza akabisha eti hajaenda beach leo! Nikamtumia ile picha akawa mpole, na mkali at the same time . long distance relationship mmh si nzuri kabisa.
 
Hapana , ninatabia ya kwenda hosp moja tuu kila ninapoumwa labda niwe nje ya mji kwaajili ya records kipi niliumwa na kwa interval ipi, basi ikawa file langu ukiangalia kila baada ya miezi 2 au 3 nina U.t.i imagine kumeza antibiotica 30 kila baada miezi 2.
Dr kila siku ananipa somo la usafi na ninanazingatia usafi lkn tatzo liko palepale
Dr ndio akaniambia kati yenu kuna mmoja anauza mechi
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwakweri nilimpenda sana M....
Ila akafanya yake bibie
Sikuile nlikosa usingizi kabisa
Hisia zinaniambia M....wako kalaliwa sahizi
Nikilala nashtuka,nkipiga simu hapatikani
Kumbe kweri yani !
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] dahhh mapenzi nyie [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Siku hiyo nilipigiwa simu na namba ngeni jamaa akajitambulisha kuwa amepata namba yangu kwenye simu ya demu wake amegundua tuna mawasiliano tata, nikamwambia ukweli kuwa huyo ni demu wangu!

Basi tukaongea sana, kumbe demu huwa anatupanga! Tukakubaliana tusimwambie kitu demu baada ya siku mbili demu akanitembelea room kwangu, mida ya saa nne nikamtumia text jamaa aibuke maana nilikuwa nishamuelekeza ninapoishi.

Jamaa alikuwa ni muajiriwa. Mimi na demu tulikuwa bado wanachuo. Basi mshkaji akaja hadi room na ndinga lake! Nikamfungulia akaingia, demu alipoteana balaa. Jamaa alikuwa muungwana akakaa kitandani, akamuuliza demu kwanini amekuwa akikubali mipango mingi anayompa kuhusu future yao wakati hapo hapo anapanga mambo hayo hayo ya future na Mimi?

Demu akaanza kumuomba msamaha mwana, Mimi hapo Sina langu nimekausha tu napiga zangu kiepe nilichonunua! Wakaongea pale ila jamaa akamwambia demu asijaribu kumtafuta hata kidogo, yaani amsahau, hataki hata kumuona! Demu akawa analia saaana, anaomba msamaha eti Mimi hanipendi anampenda yeye! Jamaa akawa na misimamo yake akaaga akatoka nje!

Na Mimi nikatoka nikamsindikiza jamaa kwenye ndinga yake, alichonishauri ni kuwa nimpige chini yule demu hafai, maana ananitosa kwa kuwa Sina hela na yeye anamng'ang'ania kwa kuwa ana hela so nipige chini! Nikamwambia poa! Jamaa akawasha ndinga akasepa!

Nikarudi ndani demu analia kichizi! Eti akaanza kunilaumu kwanini nimemuharibia sijui yule jamaa alikuwa anampa nini! Eti umbea wangu ndio umenipa kiherehere cha kupekua simu yake na kumpigia yule mchizi! Alinilaumu kichizi yaani hakutaka kuwa responsible kabisa, aliniona snitch!

Mimi nikamwambia jamaa alivyoondoka amenipa maagizo nikuache kama yeye alivyokuacha na kiukweli Mimi siwezi kubishana na wenye hela, wewe chukua vaa viatu vyako sepa! Siwezi kupingana na matajiri Mimi, ondoka! Demu hakuamini ila hatimaye alisepa! Jamaa akanipigia simu siku ya pili nikamueleza the whole story ilivyokuwa! Akawa bro wangu kabisa, nikienda town lazima nimtafute anitoe hata buku kumi ya kuunga chuoni! Demu aliendelea kugawa kwa washkaji na walimu Hadi tulipomaliza chuo, saa hizi yupo Moro hapo kachujuka hadi Ba wala Be! Mimi na jamaa still tuna mawasiliano na anataka kuoa mwaka huu mwezi wa tisa.. Kaniambia nijichange nichangie laki moja, siwezi kumuangusha bro! Nitachanga hiyo laki moja sasa nitakpokuwa Nataka kuoa Mimi nadhani atasimamia show!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Hii simulizi imenichekesha Sana kmmk

Manzi anakuambia wewe Ni mbea !?? Aiseee nimecheka yaani anakuona umemuharibia ugali wake daaahh nyie Hawa Wanawake Ni nyoko
 
Hapo umeonyesha ukomavu
Kongole kwako mkuu,
Sisi wanaume tunapaswa kuwa na maelewano mazuri hasa suala linapokuja kuhusu kushare papuchi moja maana hawa wanawake wakati mwingine wanajijua wenyewe
Sure [emoji419]
 
Niwe mkweli tu ' Mimi Ni mafia wa hizi Mambo katika mahusiano honestly nimepitia Mambo mengi Sana katika makuzi yangu yaliyo nifanya nikaitambua vyema Dunia ya mahusiano jinsi ilivyo

But niwe mkweli tukiachana na hayo niliyo yaongea hapo ktk para ya juu Hii JF imechangia kwa kiasi kikubwa Sana kuni shape na kuwa na mitazamo chanya katika mahusiano ... Yaani na washukuru sana kwa michango yenu JF Ni zaidi ya chuo kikuu kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom