Ulijuaje mpenzi wako anaku-cheat, na kwanini?

Ulijuaje mpenzi wako anaku-cheat, na kwanini?

Pole,halafu unakuta wakati unaugulia mwenzio alishakufuta hata hakuwazi,najua maumivu ya aina hiyo hiyo,ubongo ungekuwa ni kama computer once mtu anakutenda una delete tu na kusonga mbele,ingekuwa rahisi sana,lakini kawaida huwa inachukua muda mpaka moyo ukate tamaa kabisa...
Kweli kabisa chief
 
Hapana , ninatabia ya kwenda hosp moja tuu kila ninapoumwa labda niwe nje ya mji kwaajili ya records kipi niliumwa na kwa interval ipi, basi ikawa file langu ukiangalia kila baada ya miezi 2 au 3 nina U.t.i imagine kumeza antibiotica 30 kila baada miezi 2.
Dr kila siku ananipa somo la usafi na ninanazingatia usafi lkn tatzo liko palepale
Dr ndio akaniambia kati yenu kuna mmoja anauza mechi


Kwa hiyo UTI imekuwa sexual transmitted disease?
 
Kama ana masikio atasikia ila akijifanya kenge asije kufungua uzi humu siku moja.
Kuna mwingine atasema tena condom inapunguza utamu.

Hilo ni swala lako mkuu.
Huruma kwa anaeteseka na magonjwa hatuna, ukumbuke hilo, na ukifa tunakuzika tu bila shaka.
 
Binafsi nakumbuka nlikuwa na girl friend ambae tulidumu, Nlizani nimepata kumbe nimepatikana (kwa sauti ya msanii 20% 😁).

Enzi hizo nlikuwa nasoma chuo cha uhasibu pale Arusha (I.A.A) mitaa ya Njiro huko kwa matajiri wa Arusha.

Nlikuwa mtu wa watu sana, washkaji kama wote na hiki ndicho kilinisaidia, marafiki zangu wa kike wakaanza kuniambia huyu dem wako tunamuonaga mida ya jioni anachukuliwa na gari, mi nikawapuuza na kuwaona wananizushia tu wana wivu japo trust yangu kwa huyu manze ilishuka.

Basi baada ya siku 3 nilitumiwa picha kibao za huyu ex wangu akiwa kiwanja flani akimpa burudani mwenye pesa zake, hizo picha moja kwa moja ziliashiria nshaibiwa inabidi nitulie ni move on.

Sikumwambia hii ishu ila tulipokutana nlimwangalia machoni na kumwambia kwanini anani cheat, alikataa kata kata na hapa ndipo nilipojua kwamba moyo wa mtu ni msitu.

Nilipomuonyesha zile picha hizo dharau za kunijibu kwa kujiamini ziliyeyuka, hakuwa na cha kusema zaidi ya michozi kumtoka, mda huo nlikuwa na hasira sana yani nmesalitiwa na bado nikadanganywa 😠😠, kila nkimwambia kwanini umenicheat kimya, nikamfukuza atoke.

Baada ya wiki ndio akaanza kuja chuo japo alikuwa ananikwepa sana, nilimcheki usiku na kuuliza swali lile lile, kwanini ulinicheat basi ndo akanipa makavu kwamba yote aliingia tamaa ya pesa kwasababu alikuwa anadaiwa ada na nyumbani kwao pesa hawana, hata boom nililozani analo aliniambia ukweli kwamba hakuwa na boom ila aliniambia hivi ili nisimuone mzigo.

Anyway tangu hapo huyu dem ndio ikawa tabia yake na akawa mdangaji sana kadri siku zinavoenda na bado hadi sasa anaendelea kudanga, kiukweli namuombea abadilike maana ashakuwa mraibu wa haya mambo yeye ni pesa tu.

Hii kitu iliniumiza sana, anyway nilipata cha kujifunza na ku move on maisha yakaendelea nikampata mpenzi mwengine ambae watu wake wa karibu wengi nilijuana nao.

Fundisho: Jaribu uwe na urafiki na watu wa karibu au wanaoishi na mpenzi wako, hii inasaidia sana, ningekuwa sina connection za marafiki zangu hao waliokuwa wanaishi na huyo ex wangu nisingegundua kabisa haya mambo ama ningechelewa.
Kuna rafiki yangu nimetest kumuuliza kuhusu huyo demu,kanambia mbona mi nimeshapiga na ushahid text kanionesha...nkamchana demu afu akakataa,nikwambia tuachane tu!Wadangaji wapoo😂
 
Ngoja tu nizinyake..mapenz natupa kuleee.Mapenzi ya watu wasikin kila siku ni kulia lia.
 
hivi bado tunazungumzia kucheat na Gonococus au kaswende au Ukimwi
hamjakutana na hii 2nd COVID19 jamani watu wanaanguka,ni mafua ni kizunguzungu mtu anaingizwa kwenye box ndio safari
hebu waepukeni hao wadangaji vumilieni hata miezi 6 mpaka July kiangazi kitakapokuja
huku kwetu kuna jamaa anaendesha Night Club 86
 
Kuna vijitabia nilivihisi...uzuri nikapewa taarifa live bila chenga...iliniuma mno..maisha yanaendelea, mapenzi Yana wenyewe.

Sis wengine tutazikwa wazima wazima
 
Kwakweri nilimpenda sana M....
Ila akafanya yake bibie
Sikuile nlikosa usingizi kabisa
Hisia zinaniambia M....wako kalaliwa sahizi
Nikilala nashtuka,nkipiga simu hapatikani
Kumbe kweri yani !
Jamani..pole Sana.
 
Back
Top Bottom