Ulijuaje kama wewe ndo mwanzilishi

Ulijuaje kama wewe ndo mwanzilishi

inaleta nidhamu kiasi
halafu toka lini Kaizer uka support michepuko?..ndo wamekufundisha hivyo bungeni?..haukua hivyo
bora uombee isipatikane na haitapatikana kamwe
watakwenda babu wa kikombe wataambulia patupu
 
Last edited by a moderator:
mom.jpg
Apia....? Mi sijachepuka cos in thhe first place sipo njia kuu...mi napitamo vichochoroni tu
 
ladyfurahia ni kwanini kuwalazimisha wenzio kula mlo huo huo jamani;
hata kama kila siku unakula biriani utatamani pia ugali wa dona na mboga chukuchuku;
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo wewe unawaruhusu wale chakula kingine ilihali
chakula ni kilekile wala hakina mfano wake na tena
nahisi radha ni ileile mapishi ndo yametofautiana tu
shauririo unawafundisha vibaya hao wasijedhulika
halafu mseme sikuwaambia mie mie simo kabisa

ladyfurahia ni kwanini kuwalazimisha wenzio kula mlo huo huo jamani;
hata kama kila siku unakula biriani utatamani pia ugali wa dona na mboga chukuchuku;
 
acha wa hewani tuwe wa hewani
kwani hewani kama una dhana unasepa kihewani
na ukiwa na karanga zinapeperuka hewani
wewe ujui radha ya hewani, mwambie Lady doctor
yeye anajua vilivyoko hewani tena anavifagilia kwa sana
Je unataka uwe mmojawapo wa walio hewani?
karibia kama unapenda

hahaha cousin...... Hewani No stress, hewani No hates, hewani No heartbreaks...... Hewani more love
 
Last edited by a moderator:
Mpaka website anayo mchezo..luk vere ila mm nimeshastaafu

yaani umenifanya nimkumbuke Rutashobolwa alinikanya sikumsikia......... Enhe.. Ebu niambie umestaafu lini?????
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom