Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,820
- 55,611
Muulize vizuri kwani anajua zaidi kuliko mm mwenyewe?
ngoja kidogo
Muulize vizuri kwani anajua zaidi kuliko mm mwenyewe?
Sante my wii ila mbona sijaelewa dia
ulirudi jukwaani ile ID ya Lady niece uliyesema hamjuani ikafa kabisa.
au umeshamwona kwa wapi?
mmmmmmmmmh Jiwe Linaloishi
mhm! nawe unaamini hilo ?
imani ndio itaniponya....
nini tena mpendwa?? kama una shaka njoo pm nikuambiae
mwaJ msiri wangu siku nyingi sana nimekumissije? au ni Mwita Maranya amekuficha kiasi hicko? hebu sema neno tu, nami nitasema aimen, maana imeandikwa "Anyone who has never made a mistake has never tried anything new" -Sijaingia mitaa hii siku nying sana. Kaizer jidanganye tu msiri wangu.
mwaJ msiri wangu siku nyingi sana nimekumissije? au ni Mwita Maranya amekuficha kiasi hicko? hebu sema neno tu, nami nitasema aimen, maana imeandikwa "Anyone who has never made a mistake has never tried anything new" -
Albert Einstein