Ulijuaje kama wewe ndo mwanzilishi

Ulijuaje kama wewe ndo mwanzilishi

nadhani report ushaisoma na imeshakufikia upo happoo?

halafu mwambie Judgement aje kukupa report ya vibaka wa usku wa jana
kama report hiyo hujaielewa

ladyfurahia naona umeniweka kwenye bracket a.k.a mabano!!

ehee, nipe ripoti afande....!!!
 
Last edited by a moderator:
acha wa hewani tuwe wa hewani
kwani hewani kama una dhana unasepa kihewani
na ukiwa na karanga zinapeperuka hewani
wewe ujui radha ya hewani, mwambie Lady doctor
yeye anajua vilivyoko hewani tena anavifagilia kwa sana
Je unataka uwe mmojawapo wa walio hewani?
karibia kama unapenda

Acha kulialia huko hewani njoo kwangu kwenye basement ule matunnda habari za kuwa hewani tupa kule akyanani ukiwa na mimi utawaza tena habari za hewani.

Najua wahitaji wakukuvusha kutoka hapo ulipo hewani
Ila anayeenda hewani anatakiwa awe hayawani kwani hewani lazima uwenakifaa cha kwenda hewani.

Nilihisi wanitaja mimi kwani nilisikia hewani,namashahiri yako yakienda hewani nikajiona naelea hewani
tafadhari nakuomba utoke hewani,mimi nimeishakata shahuri lakukutoa hewani.

Naomba uwemkweli juu yangu kwani naona pm zako zinaishia hewani,nabaki nikiwa hewani
Tafadhari nakuomba ulionao hewani naomba watue mioyo yao kwa #Teambazazi hiliyoko hewani kama kiatu cha jordan air
Nafunga nakutuma mashahiri yangu hewani ili yawezekukufikia hapo ulipo hewani!
 
Last edited by a moderator:
jamani jamani jamani kweli mnapenda sana michepuko nyie
yaani unafagilia chini pasipokufagilia juu
hujui kuwa hewani wako wale walioji:A S 465:
tena wanaruka kama makinda mazuri na
umbo zao utadhani malaika

Huko chini ndiko kulikokuleta wewe duniani utamu wake hauelezeki, kwanza foleni zinachosha ni bora mtu ukachapuka fasta
 
kuna wakati shortcut zinahitajika sana tu, mchepuko ndo kila kitu kwa hili
 
sina kitu mpz binamu niko nafurahia tu uzuri wa hewani
si unajua mawingu yanavyometameta utadhani theruji

ninapoishi ni mbali eti nibaki njia kuu tu....?@ladyfurahia unanini binamu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom