"Na Ibrahim aliusia hayo kwa wanawe, na (vivyo hivyo) Yaqub (akisema): Enyi wana wangu! Hakika Mwenyezi Mungu amekuchagulieni Dini hii. Basi msife ila nanyi ni Waislamu."
Ulijuaje kama Mungu hakuleta dini? Huyo Mungu ulimjuaje kama yupo?
Ulijuaje kama Mungu hakuleta dini? Huyo Mungu ulimjuaje kama yupo?
Ongea ndugu. Usilete mapicha
Nilipojua Allah anamsalia MtumeUlijuaje kama Mungu hakuleta dini? Huyo Mungu ulimjuaje kama yupo?
Lete andikoNilipojua Allah anamsalia Mtume
Ulijuaje kama Mungu hakuleta dini?
Maswali hayaeleweki.Huyo Mungu ulimjuaje kama yupo?
1. Unasema Mungu hakuleta dini, ukimjuaje mungu kama yupo?Maswali hayaeleweki.
USIBISHANE NA PUNDAUlijuaje kama Mungu hakuleta dini? Huyo Mungu ulimjuaje kama yupo?
Surat Al-Baqara (2:132)
Ulijuaje kama Mungu hakuleta dini? Huyo Mungu ulimjuaje kama yupo?
Surat Al-Baqara (2:132)
Huna mpyaUSIBISHANE NA PUNDA
Punda alimwambia chui, "Nyasi ni za bluu."
Chui akajibu, "Hapana, nyasi ni za kijani."
Majadiliano yakazidi kuwa makali, na
wakakubaliana kupeleka suala hilo kwa
mwamuzi. Wakaenda mbele ya simba, mfalme
wa msitu.
Kabla ya kufika katika uwazi wa msitu ambako
simba alikuwa ameketi kwenye kiti chake cha
enzi, punda akaanza kupiga kelele, "Ewe Ukuu
wako, ni kweli kwamba nyasi ni za bluu?"
Simba akajibu, "Ni kweli, nyasi ni za bluu."
Punda akaendelea kwa haraka, "Chui
hanikubalii, ananibishia na kunikasirisha.
Tafadhali mwadhibu."
Mfalme akaamua, "Chui ataadhibiwa kwa
kifungo cha miaka mitano cha kimya."
Punda akaruka kwa furaha na kuondoka zake,
akirudia-rudia kwa furaha, "Nyasi ni za bluu."
Chui alikubali adhabu yake lakini akamuuliza
simba, "Ewe Ukuu wako, kwa nini umeniadhibu?
Hata hivyo, nyasi ni za kijani."
Simba akajibu, "Kwa hakika, nyasi ni za kijani."
Chui akauliza, "Basi kwa nini umeniadhibu?"
Simba akajibu, "Hii haina uhusiano na swali la
kama nyasi ni za kijani au bluu. Adhabu
imekuja kwa sababu haifai kwa kiumbe jasiri
na mwerevu kama wewe kupoteza muda wake
kubishana na punda kisha uniletee mimi swali
hilo."
Funzo:
Upotevu mbaya zaidi wa muda ni kubishana na
wapumbavu na watu wenye msimamo mkali
ambao hawajali ukweli au uhalisia, bali ushindi
wa imani na fikra zao za uongo. Usipoteze
muda kwa mabishano yasiyo na maana. Kuna
watu ambao, haijalishi ushahidi gani
utawasilisha, hawawezi kuelewa, na wengine
wamefumbwa macho na ego, chuki, au
kinyongo. Wanachotaka tu ni kuthibitisha wako
sahihi, hata kama si kweli.
Wakati ujinga unapopiga kelele, akili hubak
i
kimya. Amani na utulivu wako vina thamani
zaidi.
Quran 33:56Lete andiko
Hawana hoja. Unasema Mungu hakuleta dini, jee ulimjuaje huyo Mungu?Infropreneur ndugu yangu ule muda ndo huu sasa..!!
Karibu ukumbi ni wako.. kuna Maralia huku imepanda, tunaomba uje uitibu km sindano au vidonge..!!
Kazi kwako dr 😹
Hakika Mwenyezi Mungu mwenyewe pamoja na Malaika wake wanamswalia (wanamrehemu, wanamheshimu, na kumuombea Mtume Muhammad). Basi enyi mlioamini, nanyi mswalieni (mwombeeni rehema) na mumsalimie kwa amani na heshima."Quran 33:56
😹😹😹 Infropreneur umesikia lakini maneno ya malaria huku??Hawana hoja. Unasema Mungu hakuleta dini, jee ulimjuaje huyo Mungu?
Mtu yeyote anayemuamini Mungu, na anadai hana dini ni muongo.1. Unasema Mungu hakuleta dini, ukimjuaje mungu kama yupo?
Kuna watu wanadai Mungu hakuleta dini, sasa ulimjuaje huyo Mungu?Mtu yeyote anayemuamini Mungu, na anadai hana dini ni muongo.
Dini ni mifumo inayomhusisha binadamu na mambo yasiyo ya kawaida...
Allah anamheshim mtume😅😅😅wanamheshimu
Allah aliyasema hayo wapi? Wewe ushawahi kumuona? Je, anafananaje? Mzungu au mwafrika?Hakika Mwenyezi Mungu mwenyewe pamoja na Malaika wake wanamswalia (wanamrehemu, wanamheshimu, na kumuombea Mtume Muhammad). Basi enyi mlioamini, nanyi mswalieni (mwombeeni rehema) na mumsalimie kwa amani na heshima."
---
Maelezo ya Maana:
"Mwenyezi Mungu kumswalia Mtume": Hii ina maana kuwa Allah anampa Mtume heshima, rehema, na kumuinua daraja lake duniani na Akhera.
"Malaika kumswalia Mtume": Wao humuombea dua, msamaha, na kueneza heshima yake.
"Enyi mlioamini, mswalieni": Allah anatuamrisha sisi waumini tumwombee Mtume Muhammad rehema na amani mara kwa mara.
"Mumsalimie kwa salamu ya amani": Tunampongeza na kumtakia salama, kwa kusema:
Wewe unamuamini?Mtu yeyote anayemuamini Mungu, na anadai hana dini ni muongo.
Dini ni mifumo inayomhusisha binadamu na mambo yasiyo ya kawaida...