Ulijifunza nini ulipo.......!!!!!!!!!!

Ulijifunza nini ulipo.......!!!!!!!!!!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,914
Najua hii kitu sio sahihi kabisa lakini haimaanishi kuwa huwezi kupata zuri kwenye hiyo kitu

Ni muda mrefu sana jambo hili limeshajadiliwa sana kama linawezekana kuzuilika
Wapo waliosema linazuilika na wengine wamesema halizuiliki [ Asprin and co]

Hapa sitazungumzia hayo ila hapa nitazungumza yale tuliyojifunza kupitia hilo jambo

Suala lenyewe ninalolizungumzia hapa ni cheating[kugegeda nje ya ndoa]

Inajulikana kuwa kuna watu wanalifanya jambo hili kwa kificho na kuna wengine wanalifanya kwa uwazi,hii nayo sio hoja

Hebu tufunguke hapa,siku ya kwanza kuivunja hiyo amri ya sita ulijifunza nini?
Au ulipata hasara gani?
AU ulipata faida gani?

Naomba niweke wazi kuwa ku-cheat ninakokuzungumzia hapa hakukomei kwenye ndoa tu bali hata kwenye mahusiano yale ambayo wahusika wake hawajakwenda kwenye nyumba za ibada lakini ni mahusiano yenye usirious wa kutosha

Kuna watu walikuwa ni waaminifu sana kwenye ndoa zao au mahusiano yao na changamoto zilipoanza walikuwa na wakati mgumu sana na siku walipoamua kuwa na mpango wa kando tu waliweza kugundua kuwa kumbe hata nje ya mahusiano/ndoa kuna mapenzi kuzidi yale waliyoyazoea

Kuna wengine baada tu ya kuwa na mpango wa kando wameweza kugundua kuwa hakuna kama mwenza wao,yaani wamejiaibisha na kitendo hicho kimewafanya wawe waaminifu zaidi ya mwanzo

Kuna wengine baada ya kupata mpango wa kando wamejikuta huo mpango wa kando ndio the right person kwao badala ya wenza wa mahusiano/ndoa yao

Mifano ni mengi sana lakini zaidi sana kuna jamaa yangu mmoja alipata kujifunza kwa maumivu sana baada ya mkewe kufariki kwa uzembe wake mwenyewe kwa kuwa alikuwa anauthamini sana mpango wa kando na kuzenbea kumpatia matibabu ya kutosha mkewe kitendo kilichomsababishia kifo chake

Baada ya tukio hilo la kuumiza sana jamaa alijifunza na alipokuja kuoa tena alikuwa mwangalifu sana na mkewe na alikuwa na uaminifu wa hali ya juu kutokana na kujifunza na kadhia ya mwanzo

Kuna kujifunza kwingi sana kupitia hii kitu,ningependa leo tujaribu kushea pamoja ili tujifunze kupitia wengine

Au ni ngumu kufunguka?
Hebu tujaribuni.......!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
  • Hii nadhani ina mizizi kwenye how men wanaview hiyo cheating. Kiukweli its just pure plain sex, no strings! Wanaume wanakiona kama kitendo rahisi sana. Yani kama kutoka lunch na huyo binti vile! No emotional attachment.

  • Ila kwa wanawake ni tofauti sana na ndio maana ki ukweli kabisa kama mwanamke wakicheat kwenye ndoa basi ujue ni marital crisis. I know sometimes ladies wanasema kuwa na wao wanaweza kitazama hivyo hicho kitendo lakini kibiolojia wanaume wako hivyo

  • Kwa hiyo wanaume wakicheat hukichukulia ni rahisi.
 
Mim nadhani binadam ni watu wa kujaribu jaribu....mwingine ana cheat mfano kaambiwa wanawake wanene watam basi kama ana mwembamba atataka ajaribu huyo mnene aone.....

kwahyo akikuta ni kweli basi yey binafsi ataona amefaidika na ataendeleza huo mchezo...

Na ikitokea mambo amekuta sivyo ndivyo basi atakuwa amepata hasara....na ataamua kuacha.....

So kuna mambo mengi ambayo yanaweza sababisha cheating.....ila kwenye cheating akuna faida nachoona siku zote ni hasara....mana umeshindwa kutosheka na ulichonacho na pia umeshindwa kuzuia tamaa ya mwili...
 
Mkuu sasa hii mbona haielezi namna mtu amejifunza kutokana na hii kitu?

Naona kama umeeleza namna watu wa jinsia tofauti wanavyolichukulia hili jambo na sio malengo ya mada hii!
 
Mim nadhani binadam ni watu wa kujaribu jaribu....mwingine ana cheat mfano kaambiwa wanawake wanene watam basi kama ana mwembamba atataka ajaribu huyo mnene aone.....

kwahyo akikuta ni kweli basi yey binafsi ataona amefaidika na ataendeleza huo mchezo...

Na ikitokea mambo amekuta sivyo ndivyo basi atakuwa amepata hasara....na ataamua kuacha.....

So kuna mambo mengi ambayo yanaweza sababisha cheating.....ila kwenye cheating akuna faida nachoona siku zote ni hasara....mana umeshindwa kutosheka na ulichonacho na pia umeshindwa kuzuia tamaa ya mwili...

Sijauliza mambo yanayosababisha hii kitu

Nataka utuambie wewe ulipocheat ulijifunza nini?
 
mambo hapo nadhani ni mengi coz hata kujua weaknes zilizopo kwa mtu ni kujifunza na hii huwasaidia watu kujirudi kwani utajua kumbe kila mtu ana udhaifu wake cha muhimu ni kuelezana ukweli na kurekebishana ili maisha yasonge mbele.
 
alf mkuu nadhani watu wamebanwa na neno kucheat basi wafunguke hata kwa kubadilisha uhusiano mfano kutoka kwa mtu mmoja na kwenda kwa mtu mwingine coz huwa tunasikia x... wangu, je ulijifunza nn?
 
nilijifunza kitu kinatakiwa kitoke NATURALLLyyyyyyy not forced chenye jotoooooo

Akili huwa zinahamia kwnye KISIGINI/miguuni hivyo ni vyema ukai-tekenya ili kumpagawisha
 
Faida na hasara za ku cheat inategemea na expectation zako kabla ya kuamua ku cheat kwa huyo uliechagua ku kwich kwich nae!

Faida ni pale atakapo fikia vigezo vya expectation! Hapa naongelea perfomance,caring..etc uki compare na ulie nae.

Hasara ni pale hajafikia expectation! Game ya kawaida tu or boring..hapo utakuwa guilty wa ku cheat! Utaona ni upuuz tu umefanya, upotevu wa muda na gharama bila faida yoyote!

So kuepuka ku suffer these consequences ni bora kutulia na ulienae!
 
may be i am speaking out of tone ,but i am trying to imagine that, being in a marriage, cheating is inevitable. reason behind is i will loose appetite by s.exing with only one girl for the rest of my life . by saying so i mean for a husband to have a healthier marriage in one way or another he suppose to cheat for him to re-awake appetite to his wife .
so cheating has some advantages to husbands' side but not to wife's
 
Back
Top Bottom