Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,962
- 21,132
Kumbe muuwaji mwenzangu 😅Hahaha yani nitakavyo zing’oa hizo kende na meno hutooana ilivyotokea🤣
Kumbe muuwaji mwenzangu 😅Hahaha yani nitakavyo zing’oa hizo kende na meno hutooana ilivyotokea🤣
Tuna match energy tu😂😂Kumbe muuwaji mwenzangu 😅
😂😂...wahuni sio watuMuite mpenzi wako karibu yako
ongea naye kwa maneno yenye upendo na huruma
Mshike shingo vizur huku ukimsogeza vizur karibu na uso wako
Macho yako yawe yanamwangalia kwa upendo
Ukikaribia shavu lake Mng’ate kwa nguvu yaan kwa nguvu mpaka apige kelele
Hakikisha usitoke na nyama ila umemuachia alama mshenzi huyo
ila umedhidi unang’ata sehemu mbaya 😅Tuna match energy tu😂😂
Wewe ni Ke ama Me.?Wakuu,mpenzi wangu alikuwa ananisaliti,nilipogundua tu ilibidi "nimchane live" nimwambie ukweli na kuanzia siku hiyo mapenzi kwake yalikwisha taratibu mpaka kupotezeana,akituma sms sijibu nk. Vipi wewe ulipogundua anakusaliti ulifanya nini?
Dawa ya msaliti:-Wakuu,mpenzi wangu alikuwa ananisaliti,nilipogundua tu ilibidi "nimchane live" nimwambie ukweli na kuanzia siku hiyo mapenzi kwake yalikwisha taratibu mpaka kupotezeana,akituma sms sijibu nk. Vipi wewe ulipogundua anakusaliti ulifanya nini?
Kumbe nawe unataka nikung’oe sikio🤣ila umedhidi unang’ata sehemu mbaya 😅
Njoo uning’oe ulimi 😋Kumbe nawe unataka nikung’oe sikio🤣
Na ma ukimwi yalivyo mengi ni kupiga chini kabisaMpenzi/Mume/Mke akisaliti piga chini
Msaliti ni muuwaji
For real Ukimwi upo wa kutosha huko njeNa ma ukimwi yalivyo mengi ni kupiga chini kabisa
Yani upo wa kutisha kama miaka miwili iliyopita kidogo niingie mkenge kufanya vipimo na kuwa na msimamo kuliniokoa, mpaka sasa naona kila mtu ana ukimwi aseeFor real Ukimwi upo wa kutosha huko nje
Yani upo wa kutisha kama miaka miwili iliyopita kidogo niingie mkenge kufanya vipimo na kuwa na msimamo kuliniokoa, mpaka sasa naona kila mtu ana ukimwi asee
Watu siku hizi hawaogopi ukimwi tena, jambo la kushangaza mnoNi kuomba tu uwe na mtu ambaye kanyooka