Ulie tayari kuwa mume na baba kama Mungu akijaalia

Humu kuna nyuzi za wanaume pia huwa wanatafuta wake hivi huwa hamzioni au imekuwa fasheni kila mtu anaandika tu kuwa anatafuta mwenza.

Basi hapa mchana kuna mwanamume pia atajitokeza na uzi wake naye anatafuta mke sijui huwa hawasomagi nyuzi za wahitaji wenzao?
 
Acheni kukejeli viumbe ambao Mungu aliyewaumba anajivunia uumbaji wake, imagine mwenye hiyo picha hajui kuwa unatumia picha yake kuwaenjoy watu. Hopeless kabisa.
Wewe ndio hopeless uliyetukuka. Nithibitishie kama hiyo si picha yangu.

Kiherehere cha nini?
 
Hapo kwenye umri wa unaemtaka ungempunguza kidogo tu ungenipata.
 
Habari za jioni wandugu

Kama lengo kuu la huu uzi linavyojieleza ndicho moyo wangu unachokihitaji kwa dhati na I believe kupitia hapa naweza fanikisha

Mimi ni mwanamke nipo kwenye late 20s, mkristo na sio tegemezi

Dhumuni langu ni kumpata mwenzangu tutakaeanza maisha ya kuwa mke na mume

Sifa zake:Awe mkristo, umri awe kwenye 30s na mwenye shughuli iliyo halali

Karibu!!!
Hivi mwanaume mwenye miaka 30 hajaoa yupo kweli dah nimekosa bahati mimi 29 na nusu
 
Wanawake weng wanaotafuta waume JF ni wageni mfano uyu account kafungua leo sijui uwa wanamaanisha au uwa wanazingua
Mwingine anaogopa matani kwa wanaomjua.Mfano.Miss Natafuta au BAK kwa kutumia Id zako hizo hizo Watu wanaweza Ina wanataniaaa.So kuwa positive.usiogope.Umempenda mfuate acha kujudge id
 
Huko mtaani kwenu hakuna wanaume
Watu kama nyie siwapendiiiii.. Sasa umeingia jukwaa hilo kufanya nini.Jili jukwaa linaruhusu kusaka kutafuta wachumba. unaleta masharti Na ushauri wako wa kijinga.Ushauri.Funguaa jukwaa la urembo ujifunze kutinda Watu nyusi.
 
Humu kuna nyuzi za wanaume pia huwa wanatafuta wake hivi huwa hamzioni au imekuwa fasheni kila mtu anaandika tu kuwa anatafuta mwenza.

Basi hapa mchana kuna mwanamume pia atajitokeza na uzi wake naye anatafuta mke sijui huwa hawasomagi nyuzi za wahitaji wenzao?
Ni pendekezo la MTU.Wewe inakusumbua nini.Kuna tofauti kubwa.Mwanamke akijitokeza hivyo..looks so serious!!
 
Habari za jioni wandugu

Kama lengo kuu la huu uzi linavyojieleza ndicho moyo wangu unachokihitaji kwa dhati na I believe kupitia hapa naweza fanikisha

Mimi ni mwanamke nipo kwenye late 20s, mkristo na sio tegemezi

Dhumuni langu ni kumpata mwenzangu tutakaeanza maisha ya kuwa mke na mume

Sifa zake:Awe mkristo, umri awe kwenye 30s na mwenye shughuli iliyo halali

Karibu!!!
Mbona hujib Pm?
 
Back
Top Bottom