Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,488
- 203,177
🙏🏽🙏🏽🙏🏽I can’t complain LIFE IS GOOD
Safi
🙏🏽🙏🏽🙏🏽I can’t complain LIFE IS GOOD
Unauza majiko kwa kompyuta sio 😆😆😆IT ila nauza majiko
Miaka miwili si bado tunatembeza bahasha.Miaka kama miwili tuu
Ni kuweza kuhudumia familia, kuoa, kuwa na usafiri, kuwa na makazi, kumiliki kiasi cha pesa .
Basi kama ndiyo hivyo ujue bado haijakutoaMiaka miwili si bado tunatembeza bahasha.
Hata ukipata kazi ndani ya mwaka mmoja baada ya chuo. Miaka miwili huwezi kusema elimu yako imekutoa. Kwasababu sehemu nyingi utaajiriwa kama trainee au graduate. Mshahara laki 9, laki 8 au laki 7 unaoweza kuondoka nao kwenu. Miaka miwili hii hela hata usipokula ukaieka yote akiba bado haijafika hata milioni 30. Hapo ndio utasema umetoka? Mana hata gari ya kununua kwa pesa yako hujaweza kununua bila msaada wa mkopo. Unachoweza ni kula, kuvaa, kuchangia michango ya hapa na pale.
Taja ulichosomea na kama kimekusaidia kupata vyote hivyo tofauti na hapo naona unazunguka nje ya mada tuu sijui unataka kutuaminisha nini.Kama ni hivyo tu, sio lazima kusomea fani uvifanye vyote.
Mbona wengine wanalia na vyeti vyao vya Bsc chemistry shukuru KONEKSHENIMkemia hapa.
Pamoja na gentlemen yangu ya chemistry, mimi ni miongoni mwa watanzania wa daraja la kati kiuchumi.
Asante chemistry, asante sana.
Taja ulichosomea na kama kimekusaidia kupata vyote hivyo tofauti na hapo naona unazunguka nje ya mada tuu sijui unataka kutuaminisha nini.
Kama miaka 10Ni miaka mingapi baada ya chuo ndio natakiwa nijue kimenitoa au bado nambwela mbwela?
Ni miaka mingapi baada ya chuo ndio natakiwa nijue kimenitoa au bado nambwela mbwela?
Kwenye fani zote kuna waliotoboa na wanaolia na vyeti vyao. Sio dhambi pia kuwa na connection.Mbona wengine wanalia na vyeti vyao vya Bsc chemistry shukuru KONEKSHENI
Hao tayari wana mikazi ya kufanya hawana muda wa kuja kufarijiana.Mbona sioni wa Masters na PHD???😅😅😆😆
Note:Swali langu lina nia ya kufahamu upepo postgraduates.
Lengo la uzi ni kuwapa moyo vijana wanaoendelea na masomo yao na wanaokaribia kuanza masomo yao.
Maana kumekuwa na maswali mengi kuhusu uzuri wa degree program nzuri.
Ni vyema ukataja ulichosomea na umefanikiwaje katika ulichosomea.
Binafsi bsc in biology nipo hapa ajira kizungumkuti tunapambana na hali zetu sifikirii kama ntakuja kukitumia cheti maana naona chenga tu.
Karibu
Kwa maana hiyo sidhani kama kuna mtu elimu yake imemtoa. Kama interval ya kutoka ndio hio miaka miwili. Labda apate dili zingine hukoBasi kama ndiyo hivyo ujue bado haijakutoa