Kwanza una moyo!?? Kukaa room moja zaidi ya watu wawili? Hahahahahaah tena maslay kwini hawapendi kupika!!! Hongera bora ulivyoachana nao.... Mimi siwezi, napenda utulivu Muda wote, sipendi mtu ambae hapendi kupika au kufanya usafi...... Siku zote nakaa mwenyewe tu
Naomba nije kukutembelea basi.Mademu wakija getho wanazingua sana mm hata sitak bora wanaume wakija kukutembelea wanajielewa sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] demiss demissMm nilipanga getho mapema sana kwa sababu wazazi wangu ni watu wa kusafir sana nikaona Hizi kero za kubak home Mara wajomba ma mabinamu wamejazana alafu vurug kwenye kazi wacha nikajipangie zangu sasa marafiki wa kike wengi wanazeekea makwao wakiona hivyo wanakuja kujazana ghetto ili wapate Uhuru wa kudanga vizur
Hahahahahahahah siwataki hata nusu saaa.....Acha alafu wanachagua kazi ni balaaa wanazan kodi unaokota yan wanavurugu kwanza wanakunyima Uhuru mm kwa kweli kukaa getho na maslay inahitaj uvumilivu
Hahahahahahaha wakae kwako wadange?? Tobaaaaa
Ni kweli wengi uwa ni wazinguaji na wanapenda kula vinono ila kupika hawataki
ila kufua na kupika, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], yaan hasa hasa kupika, sijui na ua sjui chakula ambacho hakijaiva
Naomba nije kukutembelea basi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] demiss demiss
Hahahahahahahah siwataki hata nusu saaa.....
Kama huna akili huna tu haijalishi upo geto au mbinguni kwa baba.Daaa mm now npo gheto ila mzee mpaka leo hapend niwe gheto yaan nmetoka kibishi sana yaaan kwa tabu sana...kiukwel ukiwa nyumban akili yako haitanuk coz unakuwa KKB(kula kulala bure) so unakuwa huwaz jins gan ya kutoboa ila ukiwa gheto akili inatanuka sana utawaza jinsi gan utapata hela ya kula,utawaza jinsi gan utalipa bills,kodi na kadhalika yaan kichwa kinapata moto sana
Location pls.Abeeeh mpenzi
Kukojoa kwenye ndoo,😂😂 uvivu kutoka kwenda chooni au wanaogopa unakuta ni usiku mnene?Kuna hao wawili walimaliza mwaka kukaa kwangu nilkuwa sitaman hata kurudi home maana ni kichefuchefu hawajui hata kufanya usafi wanakojoa kwenye ndoa ya kuogea wanapasha maji ya kuoga kwenye gas jaman miezi mi4 mtungi umeisha na mm nikaacha kujaza Tukawa hatuna hata kitu ndan na mm nakula juu kwa juu narud usiku mnene
Ubungo naelekea DomLocation pls.
Kukojoa kwenye ndoo,[emoji23][emoji23] uvivu kutoka kwenda chooni au wanaogopa unakuta ni usiku mnene?
Location pls.
hapo ni urafiki, shekilango road, kumbe we ni jirani yangu
Whaaaaat!??? Kukojoa kwenye ndoo???Kuna hao wawili walimaliza mwaka kukaa kwangu nilkuwa sitaman hata kurudi home maana ni kichefuchefu hawajui hata kufanya usafi wanakojoa kwenye ndoa ya kuogea wanapasha maji ya kuoga kwenye gas jaman miezi mi4 mtungi umeisha na mm nikaacha kujaza Tukawa hatuna hata kitu ndan na mm nakula juu kwa juu narud usiku mnene
Whaaaaat!??? Kukojoa kwenye ndoo???
Jamani mimi Nilivyo na mdomo wangehama mapema mnoooo maana kukaa na donge moyoni siwezi, kukojoa kwenye ndoo??? Chooni mbali mpaka upande daladala?? Woooiiiii mama unastahiki tuzo ya uvumilivu..... Sitaki mashost mimi hata kidogo na wananijua... Hata nikiwepo chuoni hawaji ninapokaa wanafunzi wenzangu sitaki kero ndani kwangu
Hawawez wakiona una ghetto kila siku unakuwa na wageni