Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 4,280
- 7,963
Kipindi nasoma A level nilikua na pisi yangu ya kishua hataki kabisa mambo ya lodge yeye labda hotelAlaf kweli kuna wanawake hawapendi kabisa habari za Lodge
Mchele huko kwenu kilo bei gani??Mpira kwa kipa,. Unga kilo 2000 ,,sema Mchele unashuka bei eeeh,. Mkomae
Vipi huko kwenu[emoji125][emoji125]
Kama kuna eneo kubwa funga kamba zingine.Nyumba za kupanga wengi+ wenye nyumba wakiwepo apoapo kuna kero moja siipendi sana ipo hivi.
Kuna sisi uwa siku za kazi zote tunachelewa kurudi maybe saa1 usiku na kuendelea sasa unakuta umejipangia utafua weekend sasa maajab yanajitokeza ata wale wanaoshinda siku za kazi home nawao wanatoa nguo zao kufua ubaya zaidi wanafua minguo kibao kiasi kwamba kamba zote zinajaa inabidi tena mimi Jumatatu niamke saa12 nianze kufua aseee hii kero inanikaba sana koo natamani nimchane maza haus maana nayeye ni mmoja wapo na binti yake,na kuna mke wa mtu mmoja nae anatabia hizi za ajab, Wanashindwa kabisa kujiongeza.
Weekend ndo siku nafidia usingizi wangu kwahyo naamka saa3 sasa apo nakuta kamba washajaza au wamekaa na mabeseni yao wanafuaAu weekend inabidi uwahi kufua mapema sana kabla hao wengine hawajaanza kufua
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Hapo hauna namna zaidi ya kubadilisha ratiba au unaweza ukafua ijumaa usiku kama kuna mwanga wa kutoshaWeekend ndo siku nafidia usingizi wangu kwahyo naamka saa3 sasa apo nakuta kamba washajaza au wamekaa na mabeseni yao wanafua
Eneo ndo changamoto maana wao wenyeji tu wanajaza mpaka wananika nje ya fensi
Apo hakuna namna tu zaid ya hiiHapo hauna namna zaidi ya kubadilisha ratiba au unaweza ukafua ijumaa usiku kama kuna mwanga wa kutosha
Ukirudi kazini unafua kwahyo weekend inakukuta ushafua
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Basi itakulazimu uwe unadamka mapema kufua katikati ya week.Eneo ndo changamoto maana wao wenyeji tu wanajaza mpaka wananika nje ya fensi
PoleKikubwa zaidi sipendi kuzurura mchana/ kwenye jua
Tangu nianze maisha ya kupanga..Nyumba za kupanga wengi+ wenye nyumba wakiwepo apoapo kuna kero moja siipendi sana ipo hivi.
Kuna sisi uwa siku za kazi zote tunachelewa kurudi maybe saa1 usiku na kuendelea sasa unakuta umejipangia utafua weekend sasa maajab yanajitokeza ata wale wanaoshinda siku za kazi home nawao wanatoa nguo zao kufua ubaya zaidi wanafua minguo kibao kiasi kwamba kamba zote zinajaa inabidi tena mimi Jumatatu niamke saa12 nianze kufua aseee hii kero inanikaba sana koo natamani nimchane maza haus maana nayeye ni mmoja wapo na binti yake,na kuna mke wa mtu mmoja nae anatabia hizi za ajab, Wanashindwa kabisa kujiongeza.
Sure hakuna namna
Wanaroho nzuri sema kukaa nao pamoja sio maana sometimes analeta sheria zake ngumu kwenuTangu nianze maisha ya kupanga..
Sijawah kaa na mwenye nyumba huwa nawakwepa sana though kuna wengine wana roho nzuri sana ila huwa sitaki kuamini
Cha maana hapa ni kupambana na kutafta mpunga mwingi unapangisha nyumba yako nzuri kukwepa kelele nyingi ukiwa bado unajenga taratbuWanaroho nzuri sema kukaa nao pamoja sio maana sometimes analeta sheria zake ngumu kwenu
Huyo mwamba inaonekana kamdanganya demu kuwa ana geto kumbe holaa,, sasa anataka aazime geto ili aaminikeHiyo hela si bora uingie comfort lodge hapo makumbusho 30k tu full A/c
Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Hawa bila urongo hawatoi mbususu bro. Jamani mwenye ghetto bas afanye kweliHuyo mwamba inaonekana kamdanganya demu kuwa ana geto kumbe holaa,, sasa anataka aazime geto ili aaminike
Yah!! Hivyo viumbe dawa yao huwa ni kamba tuHawa bila urongo hawatoi mbususu bro. Jamani mwenye ghetto bas afanye kweli
Ubaya maeneo niliyopo ukitaka mjengo wa pekee yako basi porini ukoCha maana hapa ni kupambana na kutafta mpunga mwingi unapangisha nyumba yako nzuri kukwepa kelele nyingi ukiwa bado unajenga taratbu
Kubet au umesahau ,, tukiliwa tunapiga NYETOVyanzo vya mapato vya kutuwezesha kupata pesa tukiwa tunaishi maghetoni ni vipi wazeee
Wewe Jamaa [emoji2]Kubet au umesahau ,, tukiliwa tunapiga NYETO