Hii inawatokea wanaume wengi, hatujaumbiwa hizi kazi lazima tuwe na wasaidizi wa hizi kazi.Hii ni kweli Mimi nilikuwa naipenda kupika na maswala ya kuoa nilikuwa sitaki kusikia. Nilipoanza kuchoka kupika hata miezi sita haikupita nakaweka wife geto
Ulijiendekeza tuNilivyokuwa nampenda ata angebeba vitu nisingempaleka popote ndio man nilinkimbia hadi leo sjui yupo wapi unawajua madem wa Kizaramo wewe ,,,, [emoji23][emoji23]nilimkimbia
Usi seme ivyo wewe nikijenga Goba natafuta chuma ingine niifanye mama mjengo.Ulijiendekeza tu
Alooh [emoji23], kwaiyo ukampiga ambushNilipanga gheto vitu vyote niliuza demu wangu alitaka kunitapeli nikauza hapa kimya alivyopata na msiba kwao so akaenda uku nyuma nikauza nikahama na chumba nikarudisha najipanga niaze upya nimerudi kwanza home mwakani inshallah najipanga tena : NATOA Onyo kama kijana unapambana tafadhali Usijichanganye kuishi na videm njaaa.
Haya mambo Mwanaume ndio unakua incharge,mtu asietaka kuskia vile unamwambia ,basi unampiga chini tu.Hicho kitu ndicho kinanikwamisha sijui umejuaje mkuu.
nilitaka nikifisha sehemu flani kibanda ndio nifikirie kuoa.
mambo ya kuishi na familia ghetto sio kabisa aisee.
Sema hawa wahusika ndio shida ukimwambia hvo hakuelewi anaona unachelewa.
Ukishaoa majukumu yanaongezeka. hujakaa sawa ujauzito huo, upo gheto si balaa. hilo.
Bora usijenge,maana utauza nyumba na kumkimbia mwanamke.Usi seme ivyo wewe nikijenga Goba natafuta chuma ingine niifanye mama mjengo.
Mwakani mbali bro,,sema wiki ijayoHv wakuu tv za hisense nchi 40 inch na 43 inch zinasomeka bei gaNi wazee nataka nijikusanye nkachukue mwakani
Daah[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2] kweLi bhnA maana navosema mwakan kama vike bado miezi ming kumbe bado week moja tuMwakani mbali bro,,sema wiki ijayo
Atatoka mwenye nyumb anatakuwa ameikuta siuzi hiyoBora usijenge,maana utauza nyumba na kumkimbia mwanamke.
Smart 43’ -750.000 mikoaniHv wakuu tv za hisense nchi 40 inch na 43 inch zinasomeka bei gaNi wazee nataka nijikusanye nkachukue mwakani
The same story to my side but that girl ni chizi she took everything, we need tu hustle ourselves, madem upuuzi tu.Nilipanga gheto vitu vyote niliuza demu wangu alitaka kunitapeli nikauza hapa kimya alivyopata na msiba kwao so akaenda uku nyuma nikauza nikahama na chumba nikarudisha najipanga niaze upya nimerudi kwanza home mwakani inshallah najipanga tena : NATOA Onyo kama kijana unapambana tafadhali Usijichanganye kuishi na videm njaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo ukuta vipi? Hata pluster imeshidkan? Vipi mwenye nyumbaa n mstaafu? Hela zimekataaaa?Mapambano yaendeleee[emoji41]View attachment 2452964
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Acha zarau[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo ukuta vipi? Hata pluster imeshidkan? Vipi mwenye nyumbaa n mstaafu? Hela zimekataaaa?
Afu huko uswahilini sanaaaa eeeh. Fanya ukarabati afu ndo uweke vitu vyako vya thaman, sasa hapo utadhan store vimehifadhiwa kwa dharura. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dogo mind ur words, ukoo wako mzima wote mnakaa nyumba za tiles?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo ukuta vipi? Hata pluster imeshidkan? Vipi mwenye nyumbaa n mstaafu? Hela zimekataaaa?
Afu huko uswahilini sanaaaa eeeh. Fanya ukarabati afu ndo uweke vitu vyako vya thaman, sasa hapo utadhan store vimehifadhiwa kwa dharura. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo ukuta vipi? Hata pluster imeshidkan? Vipi mwenye nyumbaa n mstaafu? Hela zimekataaaa?
Afu huko uswahilini sanaaaa eeeh. Fanya ukarabati afu ndo uweke vitu vyako vya thaman, sasa hapo utadhan store vimehifadhiwa kwa dharura. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Maybe ali joke kidogo. No need for harsh words to our sister.Dogo mind ur words, ukoo wako mzima wote mnakaa nyumba za tiles?
If so hongereni sana