Safi mkuuKwa wale ambao tupo magetoni na hatuja ajiriwa napenda kuwatia moyo kua tupambane tu kitaa. Kama huna mishe maalumu piga kazi yoyote ile iliyo halali. (mm sio mdau wa madili haramu, ingawa nilishawahi kufanya baadhi)
Lengo Ni kujitengenezea kipato kitakachofanya uendelee kusurvive maghetoni (pango, na mahitaji mengine madogo. Yaan hapo usichague kazi Kama huna kazi maalumu ilimradi unanguvu, Basi nguvu na akili iwe mtaji wako wa kwanza.
Pia usisahau kutafuta mishe maalumu utakayoitegemea Kama shughuli kuu ya kiuchumi, hii itasaidia kufocus na maisha. Ukiwa na mishe maalumu itakufanya uwe na uchumi flani stable, mfano Kama inakupa laki 300000 kwa mwezi Basi inakua uhakika, yaani inakua stable lazima hicho kiasi kiingie. Hapa pia malengo ya maisha kwa kiasi fulani hua yanafanikiwa au yanakaa sawaa.
Wadau Jambo kubwa usiisahau kuishi vizuri na jamii inayokuzunguka toka kwenye misiba, changia rambirambi, changia shughuli za maendeleo ya mtaa, Kijiji, kata. Maana utahitaji uwepo wao hasa viongozi ikitokea baadhi ya vitu kma umeibiwa, umeugua Sana na ndugu wako mbali, umefiwa, umepata ajali, au majanga ikapelekea kupelekwa polisi n.k. hivyo jamii itakuokoa pia.
Hapo chini ndo mishe zangu nauza mawe ya kujengea. View attachment 2068429
Kutegemea boom tu nayo ni kazi hiyo mkuuWakuu mm nataka panga geto ila kwa boom la diploma pale dit first year.Nawasilisha kwenu kama inawezekana coz sitalajii kufanya kazi yoyote nategemea boom pekee.Sitarajii kufanya biashara sababu nachukua course ngumu kiasi
Nimejifunza kitu hapa.Cha pili ukiwa unaishi geto epuka kumiliki vitu visivyo vya lazima kama makabati masofa sio vitu ambavyo vinafaa Sana kumiliki Kama unaishi chumba kimoja Tena ukiwa unandoto za kujenga nunua vitu vichache tu tena vya muhimu sio unakua na geto Kama dsico mzuki mnene mpaka mwenye nyumba akuchukie
Aisee mkuu big up sana...kwaiyo totoz unasema ukazitafuna sana? [emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]Nilianza kuishi geto la kujitegemea mwaka 2010 nilikua naishi maeneoya nema kwa mjomba baada ya kumaliza la Saba nikafaulu nikaenda sec myaka miwili nikachemka nikakacha shule na kuja mjini kwa mjomba angu alikua fundi ujenzi nikanza kuzunguka nae kupiga kazi Mimi msaidizi au kibalua yeye fundi katika mishemishe za kujenga sikumoja tukiwa saiti tunajenga alikuja kibalua kuomba kazi akapata yule jamaa alikua rafiki yangu Sana alikua mtu wa iringa alikuja tanga kusoma veta akaniuliza waishi wapi nikamwambia nakaa nema na mjomba akaniambia yeye anachumba twende takakae wote nilishukulu Sana Mana nema mbali Sana na mjini tunapofanya kazi ilikua kila siku ni kusugua pumb tu umbali mlefu basi nikamwambia mjomba nahamia mjini akakubali nikaenda kukaa na yule jamaa myezi mitatu ilipopita jamaa akawa amemaliza veta anataka kulidi kwao iringa akaniambia Kodi imebaki mwezi mmoja Mimi naludi home Baki na geto mwana nikakubali jamaa akasepa akaniachia kigodoro tulichokua tunalali Cha ulimi wa ng'ombe vili vya futi 3 na jiko la mchina na visufulia nikaanza kujitegemea nilikaa kile chumba mpaka nikanunu kiwanja na nikawa tayali nishakua fundi najenga nyumba nikapata vyumba viwili ndo nikahama kwenye ile nyumba na kwangu ukweli sikuwai kubadilisha chumba tangu nianze kupanga pale nashukulu mungu nashi geto langu sasaivi ila geto la pale mjini sito lisahau limenipa mtoto na nimewala Sana wasambaa na wadigo pale tanga Raha Sana buku tu unakula Safi si asubuhi si mchana Wala usiku Yani bajet ya buku tatu tu unashi siku nzima
Sawa[emoji2]Freezer kama we ni mzee wa kupikapika
Well said hivyo vitu vinafaa kama una chumba na sebule..tena sio vya kuanzia..ni vya badaeCha pili ukiwa unaishi geto epuka kumiliki vitu visivyo vya lazima kama makabati masofa sio vitu ambavyo vinafaa Sana kumiliki Kama unaishi chumba kimoja Tena ukiwa unandoto za kujenga nunua vitu vichache tu tena vya muhimu sio unakua na geto Kama dsico mzuki mnene mpaka mwenye nyumba akuchukie
Exactly mkuu...kurudisha sio kufel...set michongo usepe zako..big sana mkuuMwaka wa korona, nilidhamilia kuhama skan baada ya kuanza kujishughulisha na Michongo ya kuuza nafaka za chakula, nilimfata mother nkamtel,,,,, daaaah,,, ilikua kipengele aisee,,, yaan alikubal kwa shingo upande na baada ya kusepa tyuu Mazaa aliangua kilio[emoji26].
Baada ya korona kupungua na kutangazwa kuwa wa kusoma warudi makambini mwao, nkamwachia jamaa angu geto, baada ya miez kadhaa ya Likizo ckumkuta mshkaji coz alikua kasafir na muda wa kodi ndo unaisha, ikanibidi nisalim amri kwa kurudisha majeshi nyuma[emoji4][emoji4].
Ile natua skani na vitu vyangu, nliwakuta Maza na Fath, daaah Mazaa alicheka balaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],,, akanitolea na mfano wa kwenye Bible (Mwana mpotevu). Surely ckupenda kurud lkn ilinibidi tyuuu.......!!!!!!
Hapa napanga mipango ya kuset ka_double room house kanguuuuu...[emoji123][emoji123][emoji123]
Kuosha vyombo kwangu naona kama adhabu manHousegirl utamtafuna tu, kuna mwana mmoja alishauriwa aoe akakacha akamleta housegirl ili asaidie kazi baada ya muda alianza kujisevia mdogo mdogo mpaka akapata kibendi, ikabidi awe wife tu
[emoji23][emoji23]majirani myeyusho mkuu alaf huwez amin mm tu ndo single wenzangu wote wanaishi na wanawake ndani...[emoji1787][emoji1787] we Vuta jiran yako tu
[emoji23][emoji23][emoji23]jau tu mzee me nkiwa naingizaga toto langu kulimega unakuta wao macho kodo maana wanawake wengi ni mama wa nyumbani.Hapo unaupiga mwingi.. napenda sana hayo mazingira wote wanaish na madem zao alaf ww peke yako ndo baharia
Mkuu unafanya Podcast? Kwanini uliamua kujiita Podcast?Bless kaka
ukiwa peke yako na kama una support ya ndugu sawa utatoboa, ila kama ndio boom kila kitu support ya ndugu ni chenga basi mcheki mwanao mwenye itikadi kama zako( yan chuo kimoja na course moja) ili mpange, mkiwa wawili cost huwa zinapunguaWakuu mm nataka panga geto ila kwa boom la diploma pale dit first year.Nawasilisha kwenu kama inawezekana coz sitalajii kufanya kazi yoyote nategemea boom pekee.Sitarajii kufanya biashara sababu nachukua course ngumu kiasi
Yes unachukia vile vya muhimu tu, accessories ndio zitafata baadaeCha pili ukiwa unaishi geto epuka kumiliki vitu visivyo vya lazima kama makabati masofa sio vitu ambavyo vinafaa Sana kumiliki Kama unaishi chumba kimoja Tena ukiwa unandoto za kujenga nunua vitu vichache tu tena vya muhimu sio unakua na geto Kama dsico mzuki mnene mpaka mwenye nyumba akuchukie