Ulianza kufanya mapenzi ukiwa na miaka mingapi?

Hii imeenda 😂

Endelea kujitunza Mkuu, ila ukumbuke kiungo kisipotumika muda mrefu huwa kinaishiwa nguvu au ukubwa according to darwinism theory

Kwahiyo angalia kisibaki kifutio bure 😜
Nna mwaka wa 30 huu sasa situmii ubongo na bado nguvu na ukubwa bado upo
 
Kaka mimi ninavyoelewa ni kua "kufanya mapenzi" ni kitendo kama "ngono" na vyote hivyo ni kushenyenta.

Ila hayo ya uchumba nk ni "mapenzi" sio "kufanya mapenzi".
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…