Ulevi wa madaraka unaomkabili RC Makonda ni nani wa kulaumiwa?

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
Kijana amelewa madaraka, amelewa yuko chakali sasa anawakosea adabu watu hovyo, pamoja na wengine waliomsababishia hali hiyo mimi nawapa lawama watu wawili:-

1. Mkulu mwenywe kwani amempa kitu kwa lugha ya mama kinaitwa "IMPUNITY"

2. William Malacela blog yake ya jamii Le Mutuz Nation inampamba mno, inampamba kupita kiasi inamfanya awe na kiburi sijui Le Mutuz anajikomba nini kwa huyu jamaa.

Kwa hiyo wanaposema kumpa mtu madaraka fulani ni lazima awe amefikisha umri fulani siyo wajinga ni wazi waliisha yaona huko nyuma.
Watu wa korea kaskazini ni wahanga wa kumpa mtu madaraka asiyostaili kulingana na umri wake.
Bado kidogo tu watu wa Dar wataanza kuota joto la jiwe kama watu wa korea kaskazini.
 
"Mrithi awapo mdogo hana tofauti na mtumwa ingawa ni bwana wa yote"
 
Back
Top Bottom