Ulevi noma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulevi noma

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kingfish, May 31, 2012.

 1. kingfish

  kingfish JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jamaa yetu alitoka bar akiwa hoi kwa kilevi, hajaenda mbali bodaboda moja likataka kumgonga akakwepa kushoto likapita, hatua chache nyingine bodaboda nyingine ikataka kumgonga akakwepa kulia ikapita. Mbele akaona taa mbili zinakuja akaona hawabodaboda wawili watamzingua safari hii hawakwepi ila atasimama katikati wao ndio wamkwepe. RIP Jamaa yetu
   
Loading...