Ulevi ni nooooma!!!

Ulevi ni nooooma!!!

Kipstech

Member
Joined
Feb 15, 2012
Posts
38
Reaction score
22
Mlevi mmoja aliingia kwenye matatu nakukaa siti ya mbele, akaweka begilake kwenye siti kulia kwake kishaakalala.Baada ya muda akaingia mlevimwingine akatoa lile begi, akaketiyeye...naye akalala.Mlevi wa kwanza alipoamka bilakuangalia akafungua zipu ya mlevimwenzake akijua anafungua begilake...Akaanza kupapasa ndani,kwa hasira akauliza, "NANIKAWEKA NDIZI MOJA, NYANYAMBILI NA STEELWIRE KWENYE BEGILANGU!!"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom