Ulevi na uadilifu wa ndoa....

:thumb:
Great thinker.........well read between them......
 
najua kibinadam ni ianuma sana maana kibao hicho wala si kofi la mpz,lkn mm ningekuwa huyo mke,ningeenda kumlaza kitandani asb na mapema ningemchemshia supu ya nguvu ya kuku wa kienyeji,then ningeomba kuongea nae taratiiiibu,ntamuonyesha hilo kovu alonipa kutokana na ulevi wake,najua ataona aibu sana maana ntamwambia na maneno aliyosema kabla ya kibao,ntakuwa tayari kumsamehe na kumpa mazungumzo baada ya habari(tendo la ndoa),lkn moyoni ntashukuru kwa kunidhamini na kunipenda sana.
 
A perfect wife...if you what you wrote and i be your hubby...

The Following User Says Thank You to Pearl For This Useful Post:
St. RR (Today)
 
Thx ntafika huko kwenye u wife,bado nipo nipo kidogo,hasira hasara yanini malumbanooooooooooo?
 
Mme karudi nyumbani chakari….netwek imekata…..mke anampokea mme wake na kumvua nguo ili amlaze kitandani……

Mme: We ma hick hick maaya hick hick…we maaya..niashe hick hick….nashema niashe hick hick….nampenda mke wangu…
Kinafata kibao kikal kinachomwachia mamsapu alama ya kudumu katika risepsheni yake….
Ipi itakua reaction ya mamsapu?

Hapa nazungumzia ulevi na uadilifu....

Nawatakia maandilizi mema ya ujio wa Masiha....mbege na bia kwa wingi!

Yani mimi ntamuwasha na yeye bonge ya kibao, mangumi ya uso kila sehem, ntatumia huo muda wa ulevi wake kujifanya matumla na mdunda, kwa maana akiwa mzima ataniua sitaweza mrudishia. Hiyo itakua bonge ya opportunity kwangu, piga mpaka amwite mungu shemeji.
 
Nimeelewa kwa nini tunapenda vipotabo....
 
najua kibinadam ni ianuma sana maana kibao hicho wala si kofi la mpz,lkn mm ningekuwa huyo mke,ningeenda kumlaza kitandani asb na mapema ningemchemshia supu ya nguvu ya kuku wa kienyeji,then ningeomba kuongea nae taratiiiibu,ntamuonyesha hilo kovu alonipa kutokana na ulevi wake,najua ataona aibu sana maana ntamwambia na maneno aliyosema kabla ya kibao,ntakuwa tayari kumsamehe na kumpa mazungumzo baada ya habari(tendo la ndoa),lkn moyoni ntashukuru kwa kunidhamini na kunipenda sana.
wow.... if that is true then congrats for having that positive life in you

hongera sana
 
najua kibinadam ni ianuma sana maana kibao hicho wala si kofi la mpz,lkn mm ningekuwa huyo mke,ningeenda kumlaza kitandani asb na mapema ningemchemshia supu ya nguvu ya kuku wa kienyeji,then ningeomba kuongea nae taratiiiibu,ntamuonyesha hilo kovu alonipa kutokana na ulevi wake,najua ataona aibu sana maana ntamwambia na maneno aliyosema kabla ya kibao,ntakuwa tayari kumsamehe na kumpa mazungumzo baada ya habari(tendo la ndoa),lkn moyoni ntashukuru kwa kunidhamini na kunipenda sana.

wow..., what a wonderfull wife!!!!!!kweli sio kila mwanamke anafaa kuwa mke wa ndoa, congrats Pearl!!!!
 
Thx ntafika huko kwenye u wife,bado nipo nipo kidogo,hasira hasara yanini malumbanooooooooooo?

OOoh my God! kumbe unaongelea nadharia! Ndugu mambo hayo ni magumu na huwezi toa uamuzi kwamba utafanya nini.....hutegemea na circumstances.
Ushauri wangu...kama bado upo upo...epuka kuolewa na mtu ambaye ulevi kwake ni jadi...ni kero kinoma....niliwahi kuwa mlevi na najua nilivyokuwa namkera OCAMPO wangu....nashukuru Mungu nimeyashinda hayo na OCAMPO hana kesi ya kupeleka THE HAGUE tena.
 
LOL... ocampo wangu anaandaa dossier la wiki nzima saa hizi, jiandaeni kutoa ushahidi tu wakuu
Orait, weka credit kwa simu, OCAMPO akipiga tu, wewe unakata, unatwanga wewe, then unaanza kwa kusema, nipo na Bigirita hapa, ongea naye.
 
najua kibinadam ni ianuma sana maana kibao hicho wala si kofi la mpz,lkn mm ningekuwa huyo mke,ningeenda kumlaza kitandani asb na mapema ningemchemshia supu ya nguvu ya kuku wa kienyeji,then ningeomba kuongea nae taratiiiibu,ntamuonyesha hilo kovu alonipa kutokana na ulevi wake,najua ataona aibu sana maana ntamwambia na maneno aliyosema kabla ya kibao,ntakuwa tayari kumsamehe na kumpa mazungumzo baada ya habari(tendo la ndoa),lkn moyoni ntashukuru kwa kunidhamini na kunipenda sana.
Lulu, kweli wewe ni wa maana kama majibu haya sio ya kwenye keyboard.
 
Orait, weka credit kwa simu, OCAMPO akipiga tu, wewe unakata, unatwanga wewe, then unaanza kwa kusema, nipo na Bigirita hapa, ongea naye.

Hii masungumso ya OKAMPO, Tindikali, Biggy hapana eleweka kwa medula yangu...ila yana harufu ya samaki (smells fishy)...
 
Unatoa anonymous unaweka Tanzania Distilaries
ha ha ha ha!
aisee hivi huyo kiumbe yupo?
mwambie habbarr ake banaaaaaaaaa

poleni kwa mikasa ya jana....!nacikia mlijikoki kwel kwel had jamaa yangu dah!....
 
Back
Top Bottom