Ulevi na uadilifu wa ndoa....

mi ndo maana namapenda sana nyanzala wangu ..nikilewa na yeye analewa kulaleki basi asubuhi ni kunyang'anyana tu mibakuli ya supu ya mkia pale hongera bar...halafu tunapatana tunarudi home safiii..miaka elfu 8 sasa hakuna kokoro
 
hahahahah lol comment of the year nimeipenda sana...
The Following User Says Thank You to Kalamu Daftari For This Useful Post:

afrodenzi (Today)​
 
mi ndo maana namapenda sana nyanzala wangu ..nikilewa na yeye analewa kulaleki basi asubuhi ni kunyang'anyana tu mibakuli ya supu ya mkia pale hongera bar...halafu tunapatana tunarudi home safiii..miaka elfu 8 sasa hakuna kokoro
The Following 2 Users Say Thank You to Kalamu Daftari For This Useful Post:

afrodenzi (Today), Bigirita (Today)​
 
hiyo tu afadhali, sema anajisaidia haja kubwa kwenye nguo, au mbele ya watoto, anakaa uchi mbele ya watoto, watoto wanauona uchi wa baba yao...watoto wanamwona babayao amenyinyeaa, maisha gani hayo?
 
mi ndo maana namapenda sana nyanzala wangu ..nikilewa na yeye analewa kulaleki basi asubuhi ni kunyang'anyana tu mibakuli ya supu ya mkia pale hongera bar...halafu tunapatana tunarudi home safiii..miaka elfu 8 sasa hakuna kokoro

hahahaaaa we kalamu mwe! Sio siri kuna m2 katoka kunikera mda c mrefu kama kawaida nakimbiliaga humu kupunguza machungu ndio nakutana na ww daftari lol nashukuru kwa kunirejeshea furaha yangu
 
Back
Top Bottom