Ulevi na uadilifu wa ndoa....

najua hakuna kitu kirahisi ktk maisha,kila kitu ni kigum ,hata dating pia ni ngum tena sana lkn pia usikubali kila kitu ni kigumu kwakuwa ni kigumu,unaweza ukawa ni mtu pekee wa kufanya kitu kigum kuwa chepesi,najua sijafika huko na ugum uko sana lkn tukiachana na ndoa za sasa za ku copy na kupaste,bado kuna ndoa nyingi zilizopitia ugum zaidi ya hii ya mlevi,na bado wanapendana,heshimiana na kuonekana ni vijana yappo ni wazee,wazazi wetu walipitia meeeengi magum lkn walifika walipotaka kufika,kila kitu ni uvumilivu,na upendo daima,lakini Mungu ni mweza ya yote hasa ukumshirikisha ktk hili,ulitaka wapigane na kuwekana makovu zaidi?Mume mwema hutoka kwa bwana kama Mungu ataniletea mlevi naamini anamakusudi na mm ya kumbadilisha si asiwe mlevi bali awe mnywaji kiasi.
OOoh my God! kumbe unaongelea nadharia! Ndugu mambo hayo ni magumu na huwezi toa uamuzi kwamba utafanya nini.....hutegemea na circumstances.
Ushauri wangu...kama bado upo upo...epuka kuolewa na mtu ambaye ulevi kwake ni jadi...ni kero kinoma....niliwahi kuwa mlevi na najua nilivyokuwa namkera OCAMPO wangu....nashukuru Mungu nimeyashinda hayo na OCAMPO hana kesi ya kupeleka THE HAGUE tena.
 
ha ha ha ha!
aisee hivi huyo kiumbe yupo?
mwambie habbarr ake banaaaaaaaaa

poleni kwa mikasa ya jana....!nacikia mlijikoki kwel kwel had jamaa yangu dah!....
Noma........acha kabaisa! tulihamia kwenye amarula +nyagi, then tikila mbaya!!
 
kama mesej hazijibiwi,izo simu je?
kuna kitu we dogo utakuwa umeharibu.....!
sisi kama wapwaaz TUTATOA TAMKO NA MSIMAMO WETU juu ya hayo yaliyotokea

Orait...go ahead....ila at least i got clean hands on this...
 
Hawezi kuamua kufanya anachotaka tu, wakati anajua kina-impact kwa ordinary citizen.
muheshimiwa spika naunga mkono hoja....

MWANANCHI WA K AWAIDA NDO ANAEUMIA!
by the way:leo ni pale pale pa jana!ijumaa hii bana...PLEASE COPY TO ALL
 
muheshimiwa spika naunga mkono hoja....

MWANANCHI WA K AWAIDA NDO ANAEUMIA!
by the way:leo ni pale pale pa jana!ijumaa hii bana...PLEASE COPY TO ALL

Naonewa sana, nadhalilishwa sana...
 
mme karudi nyumbani chakari….netwek imekata…..mke anampokea mme wake na kumvua nguo ili amlaze kitandani……

mme: We ma hick hick maaya hick hick…we maaya..niashe hick hick….nashema niashe hick hick….nampenda mke wangu…
kinafata kibao kikal kinachomwachia mamsapu alama ya kudumu katika risepsheni yake….
Ipi itakua reaction ya mamsapu?


hapa nazungumzia ulevi na uadilifu....

Nawatakia maandilizi mema ya ujio wa masiha....mbege na bia kwa wingi!


hapo inabidi mamsapu awe mpole sana kesi tutazungumza kesho nikiwa nimesahau kabisa yaliyojiri otherwise akileta ubishi naweza mtoa reception yote
 
Back
Top Bottom