Everyone stays quiet just to catch someone’s attention, waiting for the other person to text first, because being the first to text makes you look like you don’t have options.Kabisa!hii dunia ya ajabu sana aise
Being the first one to text inakufanya uonekane desperate sana na huna option nyingineEveryone stays quiet just to catch someone’s attention, waiting for the other person to text first, because being the first to text makes you look like you don’t have options.
Kila mtu anataka kulinda brand ake wanasemaBeing the first one to text inakufanya uonekane desperate sana na huna option nyingine
Ila Sasa hapo Kila mmoja akishikilia ego yake ya kukaa kimya Kuna Nini kinachofuata?
😄😄😄 Hii Dunia ngumu
Ni ujingaKila mtu anataka kulinda brand ake wanasema
Nikisema mnajipa umuhimu msiokuwa nao nakosea 😅! Watu wapendane jamani furaha ya peko yako ipo ila haitoshi, inakuvusha vipindi flani flani tu baada ya hapo utahitaji tu mtu mwingine akupe kampaniUmenena vema mkuu,kinaanza na sisi
Tunajipa mema,upendo tutajipa lakini kutafuta Kwa mwenzio ni vibaya?
Lakini Watu wanahitajiana.
View: https://vm.tiktok.com/ZSVux3UWk/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
Umesema ukweliNikisema mnajipa umuhimu msiokuwa nao nakosea 😅! Watu wapendane jamani furaha ya peko yako ipo ila haitoshi, inakuvusha vipindi flani flani tu baada ya hapo utahitaji tu mtu mwingine akupe kampani
Kwamba mnajipa umuhimu msiokuwa nao au 😁Umesema ukweli
Ntajipaje kitu ambacho Sina.Kwamba mnajipa umuhimu msiokuwa nao au 😁
Unafikiri unajipenda sana?Ntajipaje kitu ambacho Sina.
Ninao na ndio nnaojipa
Wa mwingine akiamua nae atanipa
Na wangu nkiamua nitampa
Why such question?Unafikiri unajipenda sana?
Kwamba ikiwa binadamu unajipenda sana ina maana kwamba huihitaji kupendwa na mtu mwingine? Nina maswali mengi kuhusu hii self-loveWhy such question?
Vizuri ✌️ , kwa maana ya kwamba kuna nafasi ya kuongeza upendo wa watu wengine, right?Nafikiri najioenda kawaida
Kwamba ikiwa binadamu unajipenda sana ina maana kwamba huihitaji kupendwa na mtu mwingine? Nina maswali mengi kuhusu hii self-love
Vizuri ✌️ , kwa maana ya kwamba kuna nafasi ya kuongeza upendo wa watu wengine, right?