Ule ukabila vipi?

Pambalu siyo msukuma huyo ni mfipa. Usirudie tena kosa hilo kudhani na yeye ni mmmoja wa watu makini yaani wasukuma
 
Kwa hiyo hamtaki rais akosolewe pale ambapo anakosea au ni kipi hamuelewi?
Kwani nyie vipi? Mnataka hii nchi iwe ya mazombi, kila kita anachofanya rais tuseme sawa tu? Kama ndio hivyo mnatakq kwa nini sasa msitoe maoni kwamba uhuru wa kutoa maoni unaopatikana katika katiba ufutiliwe mbali?
Binadamu mtu wa ajabu. Pindi tu Mhe. Mama Samia akifanya uteuzi ambao hatuupendi utabadilika mlio wa ngoma - ooh mwanamke, Muislamu n.k n.k Binadamu are unique species.
 
Uko sahihi
 
Wewe naye uko Marekani ipi ambayo hu enjoy "First Amendment" ? Au ndio kuku akikaa na kamba mguuni muda mrefu hata akifunguliwa anahisi bado yuko kifungoni.
Mawazo yako bado ya kigiza giza na ki imla sana kama vile hujakanyaga free world.
You just wait...

It won’t even take that long.
 
Wewe naye uko Marekani ipi ambayo hu enjoy "First Amendment" ? Au ndio kuku akikaa na kamba mguuni muda mrefu hata akifunguliwa anahisi bado yuko kifungoni.
Mawazo yako bado ya kigiza giza na ki imla sana kama vile hujakanyaga free world.
Nobody cares for your opinion.
 
Duh, Ndio maana wameanza kujishtukia
 
Ukweli ni kwamba lengo la kumuweka mabeyo lilikuwa hilo hilo na kwa kiasi fulani hayati Magu alifanikiwa kuliingiza jeshi kwenye siasa,inawezekana Mabeyo hakupenda hali hyo lakini hakuwa na namna ko usishangae sa hivi kufanya hayo ni kwa sababu alokuwa akimuendesha kama gari bovu hayupo tena, kwahiyo amerud kwenye ile misingi ya jeshi kama jeshi
 
Ukweli ni kwamba, hakuna watu wenye nature ya uadilifu kama watu wa kanda ya ziwa, ni magents wa nchii wazuri, wenye misimamo, makabila mengine wanatabia za kike sana, na hatuwezi kuwaepuka watu wa huko
 
Binadamu mtu wa ajabu. Pindi tu Mhe. Mama Samia akifanya uteuzi ambao hatuupendi utabadilika mlio wa ngoma - ooh mwanamke, Muislamu n.k n.k Binadamu are unique species.
Theo
Kwan wakat wa JPM penyewe hawakupinga? Ama mmesahau wale wakuu wa TPA walikamatwa nyakati zile? Haya wako wapi sasahiv. Hiv Masamaki yupo ndani ama wapi?
 
Haya bwashee mtoto wa Kaka yako huko Bandari wameshamvurumisha.

Mbona hata JPM amewavurumisha wengi tu,vipi sasa sisi CDM itakuwaje sasa,tutashika madaraka ya Nchi hii au ndiyo tumeshakubali yaishe,But pia shida yangu ni kina Mushi kujiona ndiyo wana haki zaidi ktk hii Nchi kuliko wengine.Kwamba Daraja la Mto Wami ni sawa lijengwe ila la Busisi hapana kwakuwa la Mto wami wanapita wao na la Busisi watapita “Wasukuma”.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…