MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 9,936
- 14,501
Monyo monyokwe!itamgharimu kwa wachaga ila watanzania wanawajua vizuri nyie.
Ahahahhshaha kichwa gani tena jamani!Pole kwa kuwa na kichwa kizito 🤣
Watu wa Kaskazini watupishe kwanza wao wanahisi wana haki kuliko wengine Magufuli alichofanya kuwaweka pending ndo maana walikua wanamchukia mnooo!!!but the truth ni ku hakuna wakabila km wao!na alikua anajitahidi kupeleka maendeleo sehemu ambazo hakuna sasa wao wamesahau Msuya alipeleka umeme milimani huko miaka ya 80's then Mramba alitenga robo bajeti ya wizara kupeleka barabara Rombo enzi ni waziri wa Fedha!wakae watulie ndugu zetu wachaga japo tunawapenda lakini kwa ukabila hawana mpinzani ktk hii nchiUsilete blah blah hapa,wale walikuwa Wapare wakijenga Mkoa wa Kilimanjaro kwa ujumla wake. Nakuuliza tu swali moja,nyinyi Kaskazini ndiyo mna haki zaidi kuliko wengine katika hii Nchi?
Mnyika ni Msukuma?
Uko mnapowasukumia wasukuma chama chao kiwe ccm mtakuja kulia siku moja.
Watu wa Kaskazini watupishe kwanza wao wanahisi wana haki kuliko wengine Magufuli alichofanya kuwaweka pending ndo maana walikua wanamchukia mnooo!!!but the truth ni ku hakuna wakabila km wao!na alikua anajitahidi kupeleka maendeleo sehemu ambazo hakuna sasa wao wamesahau Msuya alipeleka umeme milimani huko miaka ya 80's then Mramba alitenga robo bajeti ya wizara kupeleka barabara Rombo enzi ni waziri wa Fedha!wakae watulie ndugu zetu wachaga japo tunawapenda lakini kwa ukabila hawana mpinzani ktk hii nchi
Kumbe hujui huyu ni home boy [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo Huyu ni mhindi kafuata ubini wa Mama.Home boy wakati Mama yake ni Kaskazini.
Mwanzo nilijua Chadema ni chama cha siasa, so ilipofika 2011 nilichukua kadi
Nilimkubali sana Zitto na Slaa enzi hizo
Baada ya kufika moshi na kugundua siri ya Chadema nilichoma kadi haraka sana
Sasa hua nikiwaona wasukuma wanashangilia chadema, najisemea mwenyewe kuna siku wataijua siri ya hawa wanaowashangilia
Pale chadema hata tundu lissu hana thamani kama John Mrema
Na ukitaka ujue hawa ni wakabila, hata kipindi vifo vya corona vimepamba moto
Walishangilia kila kifo cha mtu wa serikalini isipokua mwenye jina la kwao tu
Ninachoshukuru Mungu hii nchi abadani haitokuja kutawaliwa na mchaga, hata wafanyeje.