Ule ukabila vipi?

Mabeyo ametumia akili siyo usukuma. Kwani kuna aliyesema wasukuma wote hawafai ama ni wakabila? Ana akili. Na yeye kuwa na akili, hakuwapi wasukuma wote akili. Same applies to all tribes.
Mushi. Nikisema wachaga ndiyo waneneza chuki dhidi ya Wasukuma kwa kua mlizoea kudominate wizara na magu hakuruhusu kabila moja kudominate wizara.

Kwa taarifa yako wakati mnasema Magufuli alipendelea Wasukuma baraza lake la Mawaziri la sasa Mkoa mzima wa Mwanza hakuna waziri hata mmoja.

Pili Mawaziri wasukuma ni wawili tu. NB BITEKO siyo msukuma.

Mkoa wa Simiyu kuna Waiziri mmoja
Mwanza hakuna waziri
Shinyanga hakuna Waziri
Geita Mawaziri 2 na mmoja siyo msukuma.

Taarifa zaidi. Waziri gwajima siyo msukuma jina Gwajima ni la mme.
 
Nyanieeh, Katiba ipo wazi mno. Wasingeweza kufanya chochote. Maana hata kabla ya mh rais kufariki dunia tumejadili sana ni nani atachukuwa madaraka pindi rais atakapokuwa ameshindwa kufanya majukumu yake.
Sema Mabeyo kama kuna jambo kalisema basi alikuwa ana mwandolea shaka mama Samia Suluhu.

Huyu wakitaka kumtoa, wanamtoa tu. Wanamuundia zengwe tu, wanamng'oa. Na sio jeahi ila ni wao wenyewe ccm.
 
Usisahau tu, katika kila kikundi kuna muasi. Huyo ni msukuma aliyeamua kuasi kambi baada ya kugundua mkuu wa kambi amekufa na vijakazi wa kambini wanataka kujimilikisha kambi.
Poa Mabeyo anakarinia kustaaafu akapumzike sina hakika kama ana miaka 2 so kumwingiza kwenye migogoro wakati anataka kupumzika akaona sitaki huu upuuzi
 
Ndugu yangu wala usishangae,kuna watu kwenye Nchi hii walishajiona wao ndiyo walikuwa na haki ya kushika nafasi zote nyeti hapa Nchini,Enzi za kina Basil Mramba,Grey Mgonja,Daniel Yona,Harry Kitilya,Kimei,na wengine wengi kuwa kwa nafasi nyeti ilikuwa ni sawa kabisa. Kosa walivyoshika wengine,mapovu yakawatoka 24/7.

Hakuna teuzi hata moja JPM alifanya wakaisifia,leo hii naona umeamua kuwakumbusha maana ni hawa hawa ndiyo mapovu yaliwatoka haswa Wakati Mabeyo anateuliwa. Uzuri tumekuwepo hapa kitambo tunawajua vizuri sana. Hawakumbuki tena huko nyuma nini walisema kuhusu CDF Mabeyo.
 
Mabeyo ametumia akili siyo usukuma. Kwani kuna aliyesema wasukuma wote hawafai ama ni wakabila? Ana akili. Na yeye kuwa na akili, hakuwapi wasukuma wote akili. Same applies to all tribes.
Vipi sasa mbona hajawatetea wasukuma washike nchi badala ya samia kama mnavyosema walikuwa wamejipanga kwa hilo?

Huyu mabeyo si ndio mlisema pia usukuma wake umeweka pale?
 
Wewe umenielewa vizuri sana!!!
 

Akiri ndio nini !.
 
Wewe umenielewa vizuri sana!!!

Ukweli siku zote hujulikana tu,zamani sikuwa naamini kabisa agenda ya Ukabila,lkn kadri muda ulivyokuwa unakwenda ndiyo nikajua hawa “wenzetu” huwa wanapenda kutumia mabega ya wengine kupanda kufika pale wapatakapo,ikitokea mtu wa caliber ya JPM akashika usukani wa Nchi hii,ndipo rangi zao halisi zikajitokeza,kila mteuliwa akawa ananyanyambuliwa katokea wapi?

Haya JPM ameondoka (RIP) nadhani sasa wamefurahi wanaona ule “utemi” wao waliozoea unarudi kwa kasi.
 
Ukitaka kujaza serikali yote na wasukuma wenye akili inawezekana kabisa kwa sababu wako wengi na wengi wamesoma sana lakini je busara inaweza kukuambia hivyo ndivyo nchi yenye makabila mengi inavyotakiwa kuendeshwa?

Hata kama wana uwezo na weledi tusichokitaka ni kabila moja kupewa kipaumbele juu ya mengine.

Acha bra bra.
 
The Straw man fallacy.
Exactly.

Jeshini ndo alikuwa second in command.

Alipostaafu Mwamunyange ndo naye akateuliwa kuwa mkuu wa majeshi.

Watu wakadai eti hakuwa anastahili. Eti kateuliwa kisa ukabila.

Bullshit.
 
Second in command jeshini sasa hivi anaitwa Yacoub Mohamed. Ni luteni jenerali.

Kwa jina lake hilo, nadhani ni Muislamu.

Pia, nadhani huyu ndo atakuwa CDF pale Mabeyo atapostaafu.

Rais Samia akija kumteua huyu, watasema kateuliwa kwa sababu ni Muislamu mwenzake na Mama Samia.

You watch this space....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…