Ulaya wamgomea Magufuli

Ulaya wamgomea Magufuli

Nampenda Magufuli sababu ana ubavu wa kukusanya kodi ili Taifa lijiendeshe bila misaada hata hao wazungu wakitutisha wakae na misaada yao,tuwe km kny

Bidhaa zenu mtauza wapi???Wapi mtanunua???
 
Kwa hili ili watanganyika mpate salama lazima muukabidhi uhuru wa wazanzubar kwa amani na magufuli asimamie jambo hilo,mukilazimisha kuikalia kimabavu zanzibar ndio hasara kwenu watanganyika.
Hivi kumbe Shein Mtanganyika? Kalieni huo ubaguzi wenu iko siku utawatafuna halafu mkimbilie huko mnakokuita Tanganyika.
 
May be - inawezekana
hao mahikimu wameteuliwa na serikali ya ccm unafikiri watatenda haki,halafu tume ya uchaguzi haishitakiwa iko huru,serikali ya tz inamifumo mibaya ya utawala halafu wananchi wamenyamaza kimya ukiona hivyo wtz wengi ni mabogas balaa ndo maana hata chupi yanaagiza china!
 
CUF wameshaambiwa kwamba hata wakienda mahakamani haitasidia maana kesi itakuwa TIME Barred.Pole kwetu hapa Hakimu ni mwanaCCM,anafuata Mwenyekiti wake anavyosema ndivyo anatenda.Refer matamshi ya Magufuli

Dah! Nasikia woga
 
Magufuli naye amekwishakuwa msanii wa ajabu. Anawaambia CUF waende mahakamani wakati anajua kuwa ZEC au NEC hawashtakiwi popote kwa uamuzi wao wowote kuhusiana na uchaguzi wa Rais, sheria imakataza.

Utaenda mahakamani kwa sheria ipi wakati ZEC imepewa kinga?

Magufuli anaweza kufanya mengi madogo mazuri lakini moja kubwa likafuta yote mazuri.

Mimi naamini kuwa mahakama ina integrity yake. Kuna mechanism ya kufuatilia kuona kama haki inatendeka. Kama hakuna mechanism hiyo, tujue kuna tatizo kubwa linalohitaji ufumbuzi wa haraka, hata kuliko kuangaika na zec au Jecha.
 
Sielewi kwa nini cuf kama wanaamini kuwa zec imekosea, si waende mahakamani ili haki ipatikane. Wanaogopa nini kwenda mahakamani?
Mahakama zipi sasa?au unazungumzia hizi zilizopewa maagizo ya kuhukumu chap chap ?
 
Sielewi kwa nini cuf kama wanaamini kuwa zec imekosea, si waende mahakamani ili haki ipatikane. Wanaogopa nini kwenda mahakamani?
Sheria inamzuia mtu yeyote kipeleka shauri mahakamani dhidi ya ZEC kuhusiana na matokeo ya uchaguzi.
 
Sielewi kwa nini cuf kama wanaamini kuwa zec imekosea, si waende mahakamani ili haki ipatikane. Wanaogopa nini kwenda mahakamani?
Wee naye mtu mzima sana usitake kujifanya chizi asiyejua mahakama za bongo zinafanyaje kazi
 
Hivi kumbe Shein Mtanganyika? Kalieni huo ubaguzi wenu iko siku utawatafuna halafu mkimbilie huko mnakokuita Tanganyika.
Magufuli anaposema la zanzibar halimuhusu huo sio ubaguzi?nenda kamuulize magufuli nini maana ya tanzania?
 
CUF wameshaambiwa kwamba hata wakienda mahakamani haitasidia maana kesi itakuwa TIME Barred.Pole kwetu hapa Hakimu ni mwanaCCM,anafuata Mwenyekiti wake anavyosema ndivyo anatenda.Refer matamshi ya Magufuli
Unajuwa hapa ndipo penye utamu wote wa hii Oscar winning movie ya Jecha. Ikiwa Jecha atalazimisha CUF na vyama vyengine kuviweka kwenye polling card, legally watakuwa wameshiriki uchaguzi japokuwa watakuwa hawana wakala kama ilivyokuwa kwa vyama vyengine vidogo vilivyokuwa havina uwezo wa kuweka wakala kila kituo. Kwa maana hiyo wataweza kupeleka malalamiko yao mahakamani na kupinga matokeo ya uchaguzi.

Scenario ya pili ambayo Jecha & co hawaipendelei ni kuwatoa kwenye polling process CUF na vyama vyengine vilokataa kushiriki. Lakini hata kama hawatakuwa wameshiriki basi wanayo haki ya kwenda kupinga matokeo mapya mahakamani kwa vile hakukuwa na uhalali wa kufutiwa matokeo yao ya Oct 2015. Wa kwenda mahakamani alikuwa Jecha kuomba kufutwa kwa matokeo yale kwa vile ni mahakama pekee ndio ilikuwa yenye uwezo wa kubadilisha matokeo na alikuwa hana legal auyhority ya kufuta yale matokeo na kwa maana hiyo kauli yake kisheria ilikuwa haisihi. Ufahamu ya kwamba CUF hawatokwenda kupinga matokeo ya uchaguzi hapa, watakachokwenda kupigania ni uhalali wa matokeo yao, na sio kuweka pingamizi ya matokeo ya uchaguzi kwa vile Jecha kaamua kutoa hati za udiwani na uwakilishi mara mbili, jee ipi ni halali? Huwezi kuuza nyumba yako kwa watu wawili tofauti kwa wakati tofauti. Obviously mauzo ya mara ya pili yatakuwa legally void kwa vile ulipouza mara ya pili ulikuwa unauza kitu si chako, na hicho ndicho anachofanya Jecha!
 
Kwann humshauri jecha amalizie kutangaza matokeo halali ya uchaguzi uliokamilika?cuf waende mahakamani kufanya nn kwa uchaguzi uliokamilika?
Sasa uhalali wa matokeo utakuja vipi na kishasema matokeo kama ni baatil? Yaani ameze ale matapishi yake mwenyewe.
 
Sielewi kwa nini cuf kama wanaamini kuwa zec imekosea, si waende mahakamani ili haki ipatikane. Wanaogopa nini kwenda mahakamani?
Mahakama zipi mkuu...hizi ambazo Jaji mkuu baadae anakuwa na kadi ya CCM, hizi ambazo mwenyekiti wa tume ya uchaguzi anaweza kugombea urais kupitia chama tawala? Demokrasia yetu bado changa na tunataka kutokuona kasoro za mifumo yetu na madhara yake kwa taifa. Naamini sheria ya mita mia mbili iko sahihi lakini tafsiri ya waheshimiwa ilisema haiko sahihi na wamekuwa manaibu spika....!!! Shame!
 
Kwani zimbabwe wanaishije na bado wanamkubali babu,waende tu na misaada yao kwa kweli
 
Unajuwa hapa ndipo penye utamu wote wa hii Oscar winning movie ya Jecha. Ikiwa Jecha atalazimisha CUF na vyama vyengine kuviweka kwenye polling card, legally watakuwa wameshiriki uchaguzi japokuwa watakuwa hawana wakala kama ilivyokuwa kwa vyama vyengine vidogo vilivyokuwa havina uwezo wa kuweka wakala kila kituo. Kwa maana hiyo wataweza kupeleka malalamiko yao mahakamani na kupinga matokeo ya uchaguzi.

Scenario ya pili ambayo Jecha & co hawaipendelei ni kuwatoa kwenye polling process CUF na vyama vyengine vilokataa kushiriki. Lakini hata kama hawatakuwa wameshiriki basi wanayo haki ya kwenda kupinga matokeo mapya mahakamani kwa vile hakukuwa na uhalali wa kufutiwa matokeo yao ya Oct 2015. Wa kwenda mahakamani alikuwa Jecha kuomba kufutwa kwa matokeo yale kwa vile ni mahakama pekee ndio ilikuwa yenye uwezo wa kubadilisha matokeo na alikuwa hana legal auyhority ya kufuta yale matokeo na kwa maana hiyo kauli yake kisheria ilikuwa haisihi. Ufahamu ya kwamba CUF hawatokwenda kupinga matokeo ya uchaguzi hapa, watakachokwenda kupigania ni uhalali wa matokeo yao, na sio kuweka pingamizi ya matokeo ya uchaguzi kwa vile Jecha kaamua kutoa hati za udiwani na uwakilishi mara mbili, jee ipi ni halali? Huwezi kuuza nyumba yako kwa watu wawili tofauti kwa wakati tofauti. Obviously mauzo ya mara ya pili yatakuwa legally void kwa vile ulipouza mara ya pili ulikuwa unauza kitu si chako, na hicho ndicho anachofanya Jecha!

Ngumu kumeza.
 
Kama mahakama zetu haziaminiki ni hatari. Inanikumbusha video ya sarafina wakati wanafunzi walipogoma kwenda shule kule S. A. na kusema eti 'school books are full of lies!'

Mahakama zipi mkuu...hizi ambazo Jaji mkuu baadae anakuwa na kadi ya CCM, hizi ambazo mwenyekiti wa tume ya uchaguzi anaweza kugombea urais kupitia chama tawala? Demokrasia yetu bado changa na tunataka kutokuona kasoro za mifumo yetu na madhara yake kwa taifa. Naamini sheria ya mita mia mbili iko sahihi lakini tafsiri ya waheshimiwa ilisema haiko sahihi na wamekuwa manaibu spika....!!! Shame!
 
Inshu ya zbr kwa mtu mwenye hofu na mungu lazima imguse,
 
Kama kawaida nyumbu wa ukawa wote wamehamia Zanzibar kwa mkopo
 
Magufuli anaposema la zanzibar halimuhusu huo sio ubaguzi?nenda kamuulize magufuli nini maana ya tanzania?
ukiwa ccm gauni utavalishwa huku ukiimba na kanga utafungwa tu utake usitake,kuwa mwanaccm inahitaji moyo na kujitoa ufahamu
 
Back
Top Bottom