Ulaya wafanyakazi ndo wanaringia Maboss

Ulaya wafanyakazi ndo wanaringia Maboss

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,053
Kuna muda na kaa chini najiuliza hivi Afrika sisi tulikosea wapi yaani nikiona jinsi gani boss wangu anavyo hangaika na kutafuta wafanya kazi.

Afrika watu wanangaika na kutafuta kazi na sema hakika maisha haya ni hatari.

Ulaya wafanyakazi ndiyo wanaringia mabosi na Afrika mabosi ndo wanaringia maboss ndo wanaringia wafanya kazi hakika ni hatari
 
Kuna dada mmoja hapa US alikuwa ananilalamikia, kuna mtu kafanya interview, kapata kazi.

Siku ya kuanza kazi hajatokea, wala hajapiga hata simu kusema amepata dharula, au amepata kazi kwingine!
 
Kuna dada mmoja hapa US alikuwa ananilalamikia, kuna mtu kafanya interview, kapata kazi.

Siku ya kuanza kazi hajatokea, wala hajapiga hata simu kusema amepata dharula, au amepata kazi kwingine!
Kweli kabisa hapa sasa hivi Nina 3 institutions zote zinataka nisign ofa zao na nimewagomea nafanya contracts pale tu napotaka pesa!
 
Kweli kabisa hapa sasa hivi Nina 3 institutions zote zinataka nisign ofa zao na nimewagomea nafanya contracts pale tu napotaka pesa!
Mkuu! Bhac mtuambie nasis ambao tuna mipango ya kuja Huko situation ya kuajiriwa kwa ughaibuni ikoje na inalipa vipi kazi,
Career gani Ni marketable?
 
Yaani ni hatari sana Maneger anamiliki helkopta bosi anatambelea Gari

Ulaya ulaya tu
Mtu anaacha kazi hapa kesho unamkuta kwingineko duuh
 
Bongo nyosso legeza babu utachekwa.

Muulize roma wakimfanya nini baada ya kutekwa.
 
Back
Top Bottom