Ulaya unashtakiwa

Ulaya unashtakiwa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
370,438
Reaction score
857,732
Na tume ya haki za wanyama
IMG-20181214-WA0183.jpeg
 
Dah huu ni ukatiri aisee hii gari ya Government kumbe!??? Aisee hapa ni kucheza na wave za wakati huu dereva atakuwa sio mzima kama alifanya hivi kwa utashi wake
 
Sio ursno street?
Si wangempa seat tu mshikaji, ili hata wahakati wa kumla kuwa hakuna manung'uniko
Kabisa au basi kama issue ni kuchafua gari na shombo la mbuzi kwenye gari wangenunua hata jaba kubwa wakamuwekea na majani halafu wakamuweka hapo nyuma vioo hawafungi...
 
Hata Tanzania unashitakiwa, tatizo ni ufatiliaji tu. Zanzibar ilashatokea kesi ya mauji ya punda baada ya kubebeshwa mzigo mkubwa wa mbao
 
Ukatili mbaya sana. Huo.Huyo dereva awajibishwe gari imeahajulikana.
 
Back
Top Bottom