NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,965
Mkuu tufufue kile CHAMA CHA KUZUIA UKATILI WAWANYAMA( TSPCA) waonaje ?Mimi mwenyewe sipendi ukatili wa namna hii![]()
Mkuu tufufue kile CHAMA CHA KUZUIA UKATILI WAWANYAMA( TSPCA) waonaje ?Mimi mwenyewe sipendi ukatili wa namna hii![]()
Tutakifufuaje mkuu?Mkuu tufufue kile CHAMA CHA KUZUIA UKATILI WAWANYAMA( TSPCA) waonaje ?
Ngoja nipate vitu FULANI j3 takupa mrejesho MkuuTutakifufuaje mkuu?
mura sio ukatiri tata...ni ukatili bana maweeHuu ni ukatiri wa hali ya juu usikute kamtembeza hivyo kutoka chamwino mpaka masaki chore road.