Duuh hawa Ng'ombe wanatabia njema sana
N hatari sasaNa tume ya haki za wanyama View attachment 968129
Wamezingua sana, hebu ona sasa gari ilivyoanikwa mitandaoni, mpaka kufikia kesho watu watakua washajua ni gari anayotumia nani then anaanikwa, mbaya zaidi unakuta nimtu ambaye watu wanamchukulia kuwa ni mcha Mungu Sana.serving the cost
Wasaga sumu tayari wameshafanya yao.Wamezingua sana, hebu ona sasa gari ilivyoanikwa mitandaoni, mpaka kufikia kesho watu watakua washajua ni gari anayotumia nani then anaanikwa, mbaya zaidi unakuta nimtu ambaye watu wanamchukulia kuwa ni mcha Mungu Sana.
Dah, eti alikuwa peke yake, ha ha hahaaaaaa.
16 disemba 2018
Kweli unaweza kwenda shule na usieleimike.Na tume ya haki za wanyama View attachment 968129
Na huyu alieandika barua awajibishe kwa kuudanganya umma....hii barua kaiandika 16 disemba 2018....wakati hio siku haijafika?!!N hatari sasa View attachment 968344