
Sio ursno street?Huu ni ukatiri wa hali ya juu usikute kamtembeza hivyo kutoka chamwino mpaka masaki chore road.
Kabisa au basi kama issue ni kuchafua gari na shombo la mbuzi kwenye gari wangenunua hata jaba kubwa wakamuwekea na majani halafu wakamuweka hapo nyuma vioo hawafungi...Sio ursno street?
Si wangempa seat tu mshikaji, ili hata wahakati wa kumla kuwa hakuna manung'uniko
Tena SU, nyambaff zao.Na tume ya haki za wanyama View attachment 968129