Ulaya pamenishinda narudi bongo

Status
Not open for further replies.
Kila siku kujisifu hapa Jamii forum mkiambiwa mtoe ramani na sisi tutusue mnakimbia.


Wabongo bana
 


I knw bro Ila nimechoka kuishi porini😔!
 
I knw bro Ila nimechoka kuishi porini😔!

usitoke huko kama bado hujakaa sawa, huko ndio mitaji inatoka na ukishaweka sawa setting na ukawa uko vizuri unaweza kutoka hata ukaacha watu ukawa on-off sana kuchungulia na kutoka...then ukawekeza mjini... asikwambie mtu huko mijini ni biashara zenye mitaji mikubwa tu ndizo zisizo na pressure na unaweza kuziendesha remotely... mapolini unatafuta mtaji na kujenga jina then unahamia mjini..ukiicheza game na remote...
 


💕💕Asante boss kwa ushauri
 
Maisha ya ulaya ni magum mno bila uvumilivu huwez kutoboa lazma ulegeze buti , alaf ukienda na mawazo ya kutegemea sijui wabongo wenzako watakusaidia ndo unayumba kabisa
 
Yaani Ulaya yawe maisha magumu kuzidi Africa?Ila jamani..
Ukienda na mawazo kuwa mambo Ni rahis yatakushinda mapema kule mambo ni magum had ukae sawa lazma ikuchukue muda kidogo, jamaa kakaa miez m3 kashakata tamaa ndo madhara ya kufikir mambo ni rahis
 
Kila siku kujisifu hapa Jamii forum mkiambiwa mtoe ramani na sisi tutusue mnakimbia.


Wabongo bana
Wewe kwanza kwa comment hii umeshakosa ramani ya kufikiri, hata ukipewa ya kufanya mengine utawayawaya.

Mimi nikieleza maisha yangu tu, kwa sababu watu wameanzisha thread na mimi kama mwanachama nina haki na wajibu wa kuchangia, wewe kwa inferiority complex yako unaona najisifu.

Kuna watu nimewapa michongo na wametoboa, hapo hapo bongo na nje ya bongo.

Wewe kalaghabaho.
 
Huna lolote
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…