Ulaji wa mafuta upo wapi kwenye gari?

Ukwaju tangu lini diesel car ikala mafuta mengi kuliko petrol car kwa injini ambazo karibia zilingane ?? rekebisha post yako
 
Nina jamaa yangu amenunua gari aina ya IST hivi karibuni, Ile alikuwa analalamika inatumia mafuta mengi km 8 kwa Lita 1, kuna siku alinipa ile gari naitumia ilitumia 1ltr kwa 15km.

Nilichogundua ni kwamba yeye speed kubwa sana kwake ni km 40 kwa saa, inakuaje inatumia mafuta mengi ikiendeshwa kwa speed ndogo?
 
Ukiwa Speed ndogo unatembelea gia kubwa(1,2) so wese hapo lazima lilike ipasavyo.

Lkn pia kwenda speed kubwa haimaanishi kwamba wese halitalika, ila jua tu kucheza na Speed vs RPM.
 
Ukiwa Speed ndogo unatembelea gia kubwa(1,2) so wese hapo lazima lilike ipasavyo.

Lkn pia kwenda speed kubwa haimaanishi kwamba wese halitalika, ila jua tu kucheza na Speed vs RPM.
Speed ndogo sana ni tatizo na pia spidi kubwa sana ni tatizo pia

Wataalamu wa magari wanashauri kuwa pamoja na kuzingatia acceleration vs rpm, speed nzuri ni kati ya 56-60 KPH
 
Back
Top Bottom