Mshasha wane
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 231
- 595
Ndugu zangu habari za mihangaiko. Nimekuwa nikifanya utafiti juu ya ulaji wa mafuta kwenye gari toyota allex na nimegundua kuwa gari inatumia lita moja katika km 11 (/l).
Route zangu ni kisiwani kigamboni kwenda posta kupitia darajani. Naomba kujua je huu ulaji ni sahihi au gari yangu itakuwa na shida?
Route zangu ni kisiwani kigamboni kwenda posta kupitia darajani. Naomba kujua je huu ulaji ni sahihi au gari yangu itakuwa na shida?