Ulaji nyama ya sungura washamiri nchini

jsenyinah

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
249
338
Yaani sijui ni ugumu wa maisha au sijui ni kukua kwa utandawazi.Walaji wa sungura hapa nchini wameongezeka na wanazidi kuongezeka kwa kasi kweli kweli, kuliko hata walaji wa kuku, mbuzi, Kitimoto, ng'ombe nk.

Sungura mmoja aliyechomwa au kubanikwa huuzwa kati ya TZS 36 - 65,000.

Kampuni ya NAMAINGO ndiyo kampuni inayojishughulisha na uuzwaji na usambazaji wa sungura nje na ndani ya nchi. Wanafanya kazi na benki ya NMB na TFDA - Tanzania Food & Drugs Authority katika kuwahakikishia walaji ubora wa chakula /nyama ya sungura.

Wahi fursa hiyo.
 
ukila sungura huto tofautisha na ya kuku. ni nyama kama ya kuku hata ambao ni wapenzi wa white meat inawafaa sana wale wenye aleji nyama nyekundu
 
Lol kweli mambo magumu tutakula hadi vijiti
watu wanakula maembe harusini tu sasa
15538651_352538865122539_4429088189667344384_n-jpg.447887
 

Attachments

  • 15538651_352538865122539_4429088189667344384_n.jpg
    15538651_352538865122539_4429088189667344384_n.jpg
    21 KB · Views: 467
Back
Top Bottom