KWEZISHO
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,518
- 6,524
Hahahaaa!! Wakitaka kuwapata walaji waanze na kuyashadidisha hayo mambo pendwa na nyama ya sungura!!!Labda inaongeza zile nguvu pendwa .....
Hahahaaa!! Wakitaka kuwapata walaji waanze na kuyashadidisha hayo mambo pendwa na nyama ya sungura!!!Labda inaongeza zile nguvu pendwa .....
Kuna sehem watu walinawshwa mafuta ya kula badala ya maji kila mtu akawa anajiuliza Leo msosi utakuaje kama maji yamekua mafuta hawajakaa sawa ikaletwa Sonia ya mafenesi n hatari Na namba zinasomekawatu wanakula maembe harusini tu sasa![]()
ahahaaaa mungu bariki mimi hapo nimeletewa maembe sahani imejaaKuna sehem watu walinawshwa mafuta ya kula badala ya maji kila mtu akawa anajiuliza Leo msosi utakuaje kama maji yamekua mafuta hawajakaa sawa ikaletwa Sonia ya mafenesi n hatari Na namba zinasomeka
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]looh hii harus kiboko haina garama kbs na hivi ndio msimu wa maenbee[emoji23][emoji23][emoji23]watu wanakula maembe harusini tu sasa![]()
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na msimu huu wa maembe ningeyala Bila kuyaonea hurumaahahaaaa mungu bariki mimi hapo nimeletewa maembe sahani imejaa
ahahaa unapewa debe unaharisha week[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]looh hii harus kiboko haina garama kbs na hivi ndio msimu wa maenbee[emoji23][emoji23][emoji23]
ahahaa wameyala huoni saani zingine empty?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na msimu huu wa maembe ningeyala Bila kuyaonea huruma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabisaahahaa unapewa debe unaharisha week
[emoji23][emoji23]ukila sungura NI umekula paka...
bado supu ya mavusi ya kunguruhii nayo itapita kama kware na mayai yake.
Pia unakwenda pamoja na kipindupindu mkuu chukua tahadhari[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]looh hii harus kiboko haina garama kbs na hivi ndio msimu wa maenbee[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani sijui ni ugumu wa maisha au sijui ni kukua kwa utandawazi.Walaji wa sungura hapa nchini wameongezeka na wanazidi kuongezeka kwa kasi kweli kweli, kuliko hata walaji wa kuku, mbuzi, Kitimoto, ng'ombe nk.
Sungura mmoja aliyechomwa au kubanikwa huuzwa kati ya TZS 36 - 65,000.
Kampuni ya NAMAINGO ndiyo kampuni inayojishughulisha na uuzwaji na usambazaji wa sungura nje na ndani ya nchi. Wanafanya kazi na benki ya NMB na TFDA - Tanzania Food & Drugs Authority katika kuwahakikishia walaji ubora wa chakula /nyama ya sungura.
Wahi fursa hiyo.
Watanzania wenzangu msidanganyike na kuingia kwenye biashara hii. This is a typical white elephant business.Sungura mmoja aliyechomwa au kubanikwa huuzwa kati ya TZS 36 - 65,000.
Kampuni ya NAMAINGO ndiyo kampuni inayojishughulisha na uuzwaji na usambazaji wa sungura nje na ndani ya nchi. .