Lete ushahidi rafiki.Nyama ya sungura ni najisi.
Mkuu kuku hafui dafu kwa sungura...ile kitu ni noumaaaa aisee!ukila sungura huto tofautisha na ya kuku. ni nyama kama ya kuku hata ambao ni wapenzi wa white meat inawafaa sana wale wenye aleji nyama nyekundu
Uelewa wako ni mdogo sana.Hebu chambua vizuri maandiko.au km vipi tuachie sisi akina Kulakula tuendelee kuziramba kisawasawa.Mungu.
Kula sungura tu kwa 36,000/- - 65,000/-?! Mbona kama ka mshahara wa mtu! Utapeli uliokubuhu hasa kwa nyakati hizi za @magufuli, ila wajinga ndio waliwao, utapata mijinga yenye hela za kuchezea, ila ukumbuke utapeli kama huu wakina @papamsofe na kina @ndamamtotowang'ombe walinyea debe na wananyea debe!Ulaji nyama ya sungura washamiri nchini
.
Nimecheka kwa sauti usiku huu! Nahisi majirani wananishangaa huko![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ahahaa unapewa debe unaharisha week
Ugumu wa maisha yawezaje kuwa sababu wakati umesema "chungula" mwenyewe auzwa kati ya 36-65 elfu?Yaani sijui ni ugumu wa maisha au sijui ni kukua kwa utandawazi.Walaji wa sungura hapa nchini wameongezeka na wanazidi kuongezeka kwa kasi kweli kweli, kuliko hata walaji wa kuku, mbuzi, Kitimoto, ng'ombe nk.
Sungura mmoja aliyechomwa au kubanikwa huuzwa kati ya TZS 36 - 65,000.
Kampuni ya NAMAINGO ndiyo kampuni inayojishughulisha na uuzwaji na usambazaji wa sungura nje na ndani ya nchi. Wanafanya kazi na benki ya NMB na TFDA - Tanzania Food & Drugs Authority katika kuwahakikishia walaji ubora wa chakula /nyama ya sungura.
Wahi fursa hiyo.
Maandiko yapi hayo... embu rudha hapa?Maandiko
Ushahidi uko wapi?Mungu.
Inasaidia kuboost nguvu?Yaani sijui ni ugumu wa maisha au sijui ni kukua kwa utandawazi.Walaji wa sungura hapa nchini wameongezeka na wanazidi kuongezeka kwa kasi kweli kweli, kuliko hata walaji wa kuku, mbuzi, Kitimoto, ng'ombe nk.
Sungura mmoja aliyechomwa au kubanikwa huuzwa kati ya TZS 36 - 65,000.
Kampuni ya NAMAINGO ndiyo kampuni inayojishughulisha na uuzwaji na usambazaji wa sungura nje na ndani ya nchi. Wanafanya kazi na benki ya NMB na TFDA - Tanzania Food & Drugs Authority katika kuwahakikishia walaji ubora wa chakula /nyama ya sungura.
Wahi fursa hiyo.
Maisha magumu af mtu anunue sungura wa 65,000?Lol kweli mambo magumu tutakula hadi vijiti
Hali hazifanani we unahangaika wenzio wwmenyoosha miguuMaisha magumu af mtu anunue sungura wa 65,000?